Moureen

Karibu Moureen.... Ww ni mpya kabisa humu au umeamua urudi na ID mpya?

Ni mpya bhna

Mhhh sasa sijui Mimi ni maana grew au crew, all in all Karibu Moureen.

Thnx captain

[quote uid=409469 name="moureen 118" post=23740703]Hodi wana grew mimi ni new member wa hili group[/QUOTE]
Karibu sana Moureen hujakosea kuchagua darasa hili humu tutakufunda na tutahakikisha unaiva vizuri

Thnx xo mch Herald Dad

@moureen118 karibu sana.

We ni ke au me?
Naomba uweke picha kumradhi.

Kama ni ke, unapajua pm kama hupajui niambie nipo humu nahusika na pm za ke pekee.

@moureen118 karibu sana.

We ni ke au me?
Naomba uweke picha kumradhi.

Kama ni ke, unapajua pm kama hupajui niambie nipo humu nahusika na pm za ke pekee.

Kwa hlo jina ni la kiume acha zko wew

MOUREEN kama ww ni wa kike uje pm tuanze mahusiano tu

Mahusiano ya nin na kwa nin ??? Jina lenyewe linajulikana ni mtu wa jinsia gani tafuta swal la maana unavyo uliza saw

Similar Discussions

Back
Top Bottom