Search results

  1. Luckme

    Tumieni fursa mnapokutana nazo hasa wakati huu wa baridi

    Usiku huu kuna baridi kweli pande zetu hizi nyanda za juu Kusini kiwinter kimekolea hatari.... Sasa mtoto wa watu tumafua twa hapa na pale tumenishika sasa rafiki yangu Mkerewe kaja kuniona magetoni (male) Stori mbili tatu mara anaanza kujizungusha umundani mara ashike simu aiache...me apo...
  2. Luckme

    Ushauri: Nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwenye watoto wawili. Nahisi napoteza muda wangu

    Hapana limenikereketaaa nikaona ngoja nililete jamvini.. Habari zenu wanajamvi. Iko hivi na date na wanaume ambae apo nyuma aliishi na mwanamke wake bila ndoa na mahari alipeleka ukweni ilikataliwa kisa yeye mkristo anataka kumchumbia binti wa kiislam. Binti akamganda mshikaji mpaka kuzaa nae...
  3. Luckme

    Kimeo

    Wakuu kwema. Kama kawa nimekuja kuondoa stress zangu JF. Juzi katika harakati za maisha nkapata mwanaume classmate sasa tukaamua kulianzisha gurudumu la mapenzi. Kaka ni mjanja hatari swaga kama zote. Siku ya kwanza imeenda fresh tu siku ya pili ambayo ni usiku wa jana kuamkia Leo tumelala...
  4. Luckme

    Siku yetu ya Single awareness day(SAD)

    Baada ya jana wapenzi na wapendanao kusherekea siku yao ya Valentine day , basi na sisi ambao hatuna wapenzi maalumu hatujaachwa wapweke . Leo tar 15 in siku yetu ya Single awareness day(SAD) na sisi tuna sherekea sasa sjui tunasherekea nini (umalaya) au (uzinifu) ata sielewi.. Anyway wale...
  5. Luckme

    Nimeumia sana

    Wakuu habarini nimekuja kutolea machungu yangu hapa. Hivi inakuaje mwanaume mnaandaana vizuri kabisa kwajili ya mgegedo halafu anaghairi na ukiangalia nina minyegezi zimejaa? Yaani, dah! Mtu kabisa anakukatili anavaa anaondoka like serious! Wakati huo yeye akibanwa na nyegezi anytime anapewa...
  6. Luckme

    Naona namba zinazojirudia kila mara. Je, nitapata tatizo?

    Wakuu habari najua kwenye hill jukwaa ntapata ufumbuzi wa hili swala.... Mala kwa mala nimekua nikionana na namba zinazojirudia kwamfano 11:11, 22:22, 3:33,10:10 ,15:15 00:00 na kwendelea sasa cjui kwann nakutana nazo sana jaman au ni kawaida au ndo nakalibia kufa hahahah.... am better here
  7. Luckme

    Au nna shida mahari

    Wasalaamu wakuu hope mko poa.... Kwenye mada moja kwa moja ,mwenzenu cjui nna shida mahari iko ivi... Nikiwa ata na efu kumi mkononi au hata mpesa najiona nimemaliza kila kitu naridhika kabisaaa na relax yan cna stress kabsa...co mtu wa kujichanganya kabsa ..ata nisipo kua na mia mfukoni ili...
  8. Luckme

    Namshukuru sana Mungu kwa kufanikiwa katika mipango yangu

    Yes namshukuru Mungu sana jamani kwa kila nililoomba limekwenda kutimia kwa 100% ....kwa Malengo niliyo yaandika January karibia yote yamekwisha timia... Najua mtaniona najivuna au kujigamba wherever kikubwa nilicho gundua katika maisha ni kwamba mawazo yetu yanaumba hebu jiangalie nini...
  9. Luckme

    Naomba ushauri kuhusu Biashara ya vipodozi vya urembo kwa Wanaume na Wanawake

    Wapendwa habarini za muda huu.... Mimi nina wazo la kufanya biashara ya urembo kwajiri ya kinadada na wakaka... Kuuza mafuta, lotion, hereni, bangiri vibanio na mambo mengine kama hayo .... Naombeni mnipe mwanga wa nianze na mtaji wa shilingi ngapi pia changamoto za hio biashara na faida zake...
  10. Luckme

    Biashara ya urembo

    Wapendwa habarini za mda huu....me nnawazo la kufanya biashara ya urembo kwajiri ya kinadada na wakaka....kuuza. Mafuta& lotion,hereni bangiri vibanio na mambo mengine kama hayo ....nombeni mnipe mwanga wa nianze na mtaji wa shngapi pia changamoto za hio biashara na faida zake na machimbo ya...
  11. Luckme

    Heeey what's up

    Hellow jf ama new member humu naskia ni pazuri sana okay hope ntaenjoy life la hapa....(am single and searching) okay byeeeee
Back
Top Bottom