Search results

  1. F

    Tiba ya unyevu(fangasi) kwenye nyumba.

    Habari ndg zangu. Ninaomba tiba ya fangasi kwenye nyumba ambayo tayari imeathirika na fangasi ya ukutani. -rangi na tofali vinapukutika kutokana na unyevu wa maji. Ahsanteni.
  2. F

    Ipi ni biashara nzuri kati ya hizi?

    Habari za usiku huu ndugu zangu. Nina mawazo juu ya biashara aina tatu 1. Vifaa vya umeme mfano nyaya, sockets, extensions nk 2. Vifaa vya simu mfano screens, protectors,covers, chargers nk 3. Pipi au peremende/candy,biscuits za bei ya jumla na rejareja. Naomba kwa uzoefu wenu nifanye biashara...
  3. F

    Biashara ya vifaa vya umeme

    Habari za humu Great Thinkers! Naomba kupata elimu juu ya biashara ya vifaa vya umeme kwa mtu mwenye mtaji mdogo wa angalau milioni 4. Nitafurahi ikiwa nitaelimishwa juu ya muundo wa duka lenyewe, yaani vifaa gani viwemo kwa wingi, bidhaa zinazouzika kwa haraka, faida zake, changamoto na eneo...
  4. F

    Soko la dengu

    Habari za muda huu! Niko kwenye eneo linalozalisha zao la dengu na miezi ya mavuno imekaribia. Nimevutiwa na kufanya biashara ya kununua dengu kutoka kwa wakulima moja kwa moja. Ninaomba kwa mwenye uzoefu wa biashara ya mazao hasa dengu, na hasa kuhusu soko na changamoto zake kwa kanda ya ziwa...
  5. F

    Biashara ya kujiendesha yenyewe

    Habari waungwana! Katika pitapita za hapa na pale, katika eneo fulani mkoani Simiyu nimeona mradi wa maji unaojisumamia wenyewe. Yaani,mteja anaweka pesa ya sarafu kwenye mashine,kisha anakinga ndoo. Kama ameweka sh. 50 atapata maji ya pesa hiyo au zaidi kulingana na pesa yake. Hakuna haja ya...
  6. F

    App ya Ajira Portal

    Habari za muda huu. Samahani naomba kusaidiwa. Nimedownload app ya ajira portal lakini kila nikijaribu kujisajiri naambiwa mara wrong email address,mara incorrect password nashindwa nifanyeje ili kujisajiri. Naomba mwenye utaalamu anisaidie nini cha kufanya. Ahsanteni.
  7. F

    Taratibu za biashara mipakani

    Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu wa biashara inayohusisha bidhaa kutoka nchi moja na nyingine mfano kutoka Kenya kuja Tanzania kwa biashara ndogo ndogo za bidhaa Kama vile pipi,biscuit,nk.(machinga). Naomba kusaidiwa ufafanuzi wa: -taratibu za kodi zikoje? -Kuna viwango maalum vya kodi vimewekwa...
  8. F

    Biashara gani nzuri shuleni?

    Habari za humu ndani! mimi mtumishi katika shule x.napenda kuwa na kipato cha ziada nje ya mshahara,naomba ushauri wa aina nzuri ya biashara katika mazingira ya shule itakayonipa kipato cha ziada bila kuathiri ratiba yangu ya kazi.Naomba isiwe biashara ya ubuyu na barafu maana hizo zimezoeleka...
  9. F

    UFAFANUZI UNAHITAJIKA

    Habari humu jamvini! Naomba ufafanuzi kwa mwenye ufahamu kuhusu kodi kwa watumishi wa umma.Mimi ni mtumishi wa umma katika moja ya taasisi za serikali,nimekuwa nikifuatwa mara kwa mara na viongozi wa serikali za mitaa wakiniomba michango ya maendeleo kama vile,kuchangia ujenzi wa madarasa,vyoo...
  10. F

    Mradi umeme wa REA umeishia wapi huku kwetu Simiyu?

    Habari za humu jamani,naomba kuuliza kwa mwenye uelewa juu ya mradi umeme wa REA,kwamba umeishia wapi maana huku kwetu Simiyu kuna baadhi ya maeneo tumewekewa nguzo tangu mwaka jana lakini bado hatujawashiwa umeme,tumejaribu kuulizia kwa baadhi ya wahusika ila hatupewi majibu ya uhakika.Ahsanteni.
  11. F

    Naomba msaada wa mawazo,nifanye nini ili niweze kuhama?

    Mimi ni mwajiriwa serikalini,kipindi TAMISEMI hawajasitisha uhamisho,nilipata mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi yeye ahamie katika halmashauri yangu nami niende halmashaurini kwake.Nilipitishiwa barua yangu ya kuomba uhamisho na mkuu wangu wa kituo lakini ilipofika halmashauri nikaambiwa...
  12. F

    Barua yangu ya kuhama kituo cha kazi imekumbana na pingamizi, nifanyeje?

    Mimi ni mwalimu wa sekondari katika shule X. Kama mjuavyo kutofautiana sehemu za kazi ni jambo la kawaida. Nimetofautiana na mkuu wangu kiasi cha kuamua kuhama kituo cha kazi. Amenipitishia barua ya uhamisho lakini nilipoipeleka halmashauri nikajibiwa kwa barua kuwa ombi langu limekataliwa...
Back
Top Bottom