fikirijohnas
Member
- Nov 10, 2018
- 56
- 49
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu wa biashara inayohusisha bidhaa kutoka nchi moja na nyingine mfano kutoka Kenya kuja Tanzania kwa biashara ndogo ndogo za bidhaa Kama vile pipi,biscuit,nk.(machinga).
Naomba kusaidiwa ufafanuzi wa:
-taratibu za kodi zikoje?
-Kuna viwango maalum vya kodi vimewekwa au ni makadirio tu kulingana na ukubwa wa bidhaa?
Naomba kusaidiwa ufafanuzi wa:
-taratibu za kodi zikoje?
-Kuna viwango maalum vya kodi vimewekwa au ni makadirio tu kulingana na ukubwa wa bidhaa?