Search results

  1. Kauzu Kinyama

    Kama Lowasa atatekeleza sera za chadema/Ukawa tutampa kura

    Kwa EL cdm ni kama cond..m tu, anaitumia kufikia lengo lake. Nawashangaa wanaojiaminisha eti kaja kuwa mwanachama. EL kaja kugombea uraisi tu
  2. Kauzu Kinyama

    Kuhusu utaratibu

    Kwa upole na busara tu jamani naomba tuelezane ni wapi kumekuwa na fair play katika mchakato wa kupata wagombea wa uraisi kati ya CCM na CHADEMA. Kati ya Slaa na Lowassa nani kakatwa kwa kudharauliwa?
  3. Kauzu Kinyama

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    go go JPM
  4. Kauzu Kinyama

    Mbowe: Tumuombee Dr. Slaa kwa Mungu ampe moyo wa ujasiri!

    Slaa ameprove kuwa hanunuliki. Inasikitisha zaidi kuona CHADEMA wanavyoweza kumuona si lolote tena katika chama. Hii imeonekana kuanzia kwa viongozi mpaka humu jamvini
  5. Kauzu Kinyama

    Tukubali tukatae UKAWA kabla ya Lowassa hawakuwa na mgombea level ya Magufuli

    Hawakuwa na mgombea ndo maana wakamsubiri hadi aje. We jiulize kwa nn walikuwa hawatangazi mgombea pamoja na kutuambia washampata? Unawezaje kumpa nafasi kama hiyo mgeni kwenye chama?
  6. Kauzu Kinyama

    Msaada tecno m5

    Habari wana jamvi Simu yangu ni Tecno M5 nimejichanganya kwenye setting imekuwa kila ninachocomand inaongea. Kibaya zaidi inagoma baadhi ya application na haiendi tena kwenye setting, haikubali scroll up wala done ni home screen tu. Naomba kwa mwenye ujuzi wa kutatua hili anisaidie tafadhali.
  7. Kauzu Kinyama

    Ushiriki wa mabaraza ya katiba

    Habari zenu wana JF, naomba kupata muongozo juu ya utaratibu wa kushiriki kwenye mabaraza ya katiba. Natanguliza shukrani.
  8. Kauzu Kinyama

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kama uko tayari kwenda Karagwe ni-PM tuwasiliane
  9. Kauzu Kinyama

    Mugabe awalipua Walokole

    Kumbe we ukisikia Rais tu, akili ishakimbia na kuwaza ni nani? Unasahau kuna marais mpaka wa mashirikisho na taasisi? Jipange
  10. Kauzu Kinyama

    Mugabe awalipua Walokole

    Acha chuki zako za ajabu, inaonyesha uliifungua hi thread ukiwa tayari ushaandaa majibu ya kejeli kwa rais flani ambaye una hamu tu ya kumkejeli na kuchochea udini sehem fulani.Baada ya kukuta siye unaanza kushtuka.
  11. Kauzu Kinyama

    Udini wa kutisha UDOM!

    Habari wanajamvi, naanza moja kwa moja kwa kueleza hili kwa furaha isiyo kifani juu ya hizi fikra za udini UDOM zilivyotapakaa. Yani pale UDOM ukiwa muislam tu, ushapata kazi Nafasi karibu zote za juu ni waislamu Ustadh Kikwete kajaza waislam UDOM na katika idara nyingi za serikali Dr Ame...
  12. Kauzu Kinyama

    Line ya kwanza hapa Tanzania iliuzwa shs ngapi?

    Me nilipewa line bure, muda wa maongezi wa sh 500/=, sms 100 na MB 25.
  13. Kauzu Kinyama

    Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

    Haka kauzi umekatoa sehem kalikuwa kanazisema NIGERIAN MOVIES. Any way thanks kwa modifications na kuwaletea ambao hawataweza kukapata kule.
  14. Kauzu Kinyama

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Utamu wa pipi mate raha ya kigelegele uwe na ulimi pilipili haimenywi
  15. Kauzu Kinyama

    Hebu tafsiri kiswahili jinsi ilivyo

    it will be difficult small-itakuwa ngumu kidogo
  16. Kauzu Kinyama

    Booooooooooooooonge la sapraiz

    Fungua hii link http://im19.gulfup.com/2012-07-21/1342885648171.swf
  17. Kauzu Kinyama

    Root canal ni nini?

    Hello JF Doctors, nina tatizo la jino kutoboka na nimeshauriwa kufanya root canal, ni nini hii kitu na je ina madhara yoyote?naomba maelezo kwa mwenye ufahamu juu ya hili
  18. Kauzu Kinyama

    Brilliant answers

    Q: In which battle did Sultan die? A: His last battle. Q: Where was the declaration of independence signed? A: At the bottom of the page. Q: Whats the main reason 4 divorce? A: Marriage?
Back
Top Bottom