Search results

  1. Kubwalijalo

    Vyungu vya kuyeyushia Dhahabu na Scale za TANITA za japani

    Nauza vyungu vya kuyeyushia Dhahabu pamoja na vifaa vyote vinavotumika Elution pamoja na Scale za Tanita za Japani, Na vipimo vya maji kwa ajili yakuangalia asilimia kwa Bei nzuri kabisa. Kwa mawasiliano: +255689511212 or +255778353535 Whatsapp +971589413651
  2. Kubwalijalo

    Excavator Inauzwa

    Wadau nauza Excavator HITACHI Zaxis 210 LCH. Lipo Mbeya wilaya ya CHUNYA Bei ni 130,000,000 maongezi yapo. Lipo vizuri na mashine yake haijawahi kufunguliwa. Wasiliana nami kwa Namba zifuatazo:- +255778353535 / +255689511212
  3. Kubwalijalo

    Excavator inauzwa bei poa kabisa

    Nauza Excavator Hitachi Zaxis 210 LCH Tsh. 130,000,000. Mazungumzo yapo kwa muhitaji. Excavator ipo Mbeya Wilaya ya Chunya. Mashine yake ni ya ISUZU, ipo vizuri sana kwa maana haijawahi kufungiliwa.
  4. Kubwalijalo

    Tetesi: Gari la mafuta lateketea kwa moto muda huu hapa Mikese, Morogoro

    Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya karibu na Morogoro, Gari nyingi sana zimekwama kutokana na madereva kuogopa yaliyotokea miezi miwili nyuma.
  5. Kubwalijalo

    Msaada: Naomba namna ya kuomba Viza

    Nimepata mwaliko wa kwenda UK kwa ajili ya matembezi ya wiki mbili, nataka nitumie 'supporting documents' za kampuni ili niweze kuombea Viza. Kampuni ina Shereholder wawili: Mwenzangu MD na Mimi ni Director. Sasa basi nimekusanya vitu vifuatavo:- Memoryrundom Bank stetment TIN# Certificate of...
  6. Kubwalijalo

    Toyota Harrier inauzwa

    Kama kichwa cha habari kinavojielezea, Ninagari aina ya Toyota Harrier model 2008, nauza Tsh. 13,000,000 tu, haina tatizo lolote na ipo katika hali nzuri kabisa, Gari ipo Zanzibar. Wasiliana +255778353535 / +255714/773 303060
  7. Kubwalijalo

    Kipi bora?

    Wakati umetekwa na Wasiojulikana na ili wakuachie huru uchague moja wakufanyie kati ya haya yafuatayo:- 1) Wakutoe Nuru ya macho uwe kipofu, au 2) Wakutoe mdiso, "Jongoo asipande mtungi".
  8. Kubwalijalo

    MSAADA WA VITABU

    Habri Za muda huu, Zingatia mada husika. Mwenye vitabu hivi ningependa anisaidi ili niweze kuvisoma.:- Siri ya Sifuri, Mzimu wa watu wakale, Mke mmoja waume watatu, Mzimu wa watu wakale na Kivuli kinaishi.
  9. Kubwalijalo

    YUPI BORA KATI YA WAWILI HAWA

    Mwanamke msaliti wa mapenzi na msaliti wa Mali yupi bora.?
Back
Top Bottom