Tetesi: Gari la mafuta lateketea kwa moto muda huu hapa Mikese, Morogoro

Kubwalijalo

JF-Expert Member
Oct 5, 2018
364
290
Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya karibu na Morogoro, Gari nyingi sana zimekwama kutokana na madereva kuogopa yaliyotokea miezi miwili nyuma.
 
Gari la mafuta linawaka moto mdaa huu maeneo ya karibu na Mikese "Morogoro", Gari nyingi sana zimekwama kutokana na madereva kuogopa yaliyotokea miezi miwili nyuma.
 
Back
Top Bottom