Search results

  1. kingjohn255

    Natafuta nyumba ya kupanga niifanye ofisi

    Habarini za leo wakuu? natafuta nyumba ambayo naweza kuifanya office Sifa za nyumba, iwe inajitegemea, iwe barabarani(iwezwe kuelekezeka, na iwe wilaya ya kinondoni(kawe chini, Mbezi Beach, Mikocheni, Kinondoni yenyewe, Kijitonyama, Mwenge, Sinza, Makumbusho, Msasani, Oysterbey na Masaki Budget...
  2. kingjohn255

    Tunaagiza, tunanunua na kuuza magari

    Huku hakuna mkuu Sent from my SM-A245F using JamiiForums mobile app
  3. kingjohn255

    Tunaagiza, tunanunua na kuuza magari

    Habari ya wakati huu ndugu zangu, je wewe ni mhitaji wa gari ya kutumia, au una gari na unauza ila hujui uipeleke wapi ili iweze kuuzwa kwa wakati? Basi usihofu Kampuni ya Joex Motors (T) Limited wamekuja na aulihisho hilo Tunaagiza gari Europe na Japan, tunanunua gari kwa wamiliki halali na...
  4. kingjohn255

    Unahitaji kampuni ya kusimamia shughuli yako?

    Je, unahitaji kampuni bora sana ya kusimamia tukio lako? Inaweza kuwa harusi, mahafari, mikutano, washa na tukio lolote linalohitaji usimamizi wa kina? Basi usiwe na mashaka, kampuni ya Joex Event Planning & Management Ltd wapo kwa ajili ya kuhakikisha tukio lako linaandaliwa na kusimamiwa...
  5. kingjohn255

    BabaMorgan as Clearing and Forwading Agent

    Shipping line wanacalculate vip kupata gharama zao? je ni ziko fixed au wanatumia CBM? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kingjohn255

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Timing belt zipo sawa, machine imesoma code upande wa hewa ila bahati mbaya fundi aliepelekewa gari bado hakuweza kufahamu zaidi atengeneze Nini, gari inaandaliwa utaratibu wa kuja dar pengine tunaweza kutatua hilo tatizo kwa huku Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kingjohn255

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Ahsante sana mkuu ngoja niipeleke kwa fundi waikague nitaleta mrejesho hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kingjohn255

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Wakuu na mafundi wa magari naombeni msaada wenu wa kina, nina gari yangu Premio Old model NZT240 gari ya 2007 engine ya 1NZfe imekutana na tatizo ambalo sielewi, Ina tetemeka na kuzima ikiwa kwenye mwendo, tumeshabadili Plug, fuel pump, Airflow sensor lakini tatizo liko pale pale, Nini kifanyike...
  9. kingjohn255

    Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

    Ofsi yako ilipo ni wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kingjohn255

    Wauzaji wa magari ambayo hayapata ajali wa mabovu mabovu spana mkononi

    Nipigie kwa uhitaji wa gari za kuagiza au kuuziwa gari iliyoko Yard kwa uaminifu mkubwa sana na utauziwa gari ambayo haijashushwa mileage +255 (0) 719 263 074 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kingjohn255

    Nafasi ya kazi: Clearing Agent

    Kampuni ya JOEX Worldwide inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 20,2023 Kazi : Clearing Agent Idara: Operational Vigezo Cheti / Diploma ya clearing pamoja na awe amesoma kozi ya CFFPC inayotolewa na chuo Cha Kodi na awe amepata Cheti Umri...
  12. kingjohn255

    Tangazo la nafasi ya kazi (clearing agent)

    Kampuni ya JOEX Worldwide inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 20,2023 Kazi : Clearing Agent Idara: Operational Vigezo Cheti / Diploma ya clearing pamoja na awe amesoma kozi ya CFFPC inayotolewa na chuo Cha Kodi na awe amepata Cheti Umri...
  13. kingjohn255

    Naomba kueleweshwa kwa wataalamu wa kodi za kuingiza magari nchini

    Naomba kuchangia kidogo hapa, watu wengi ambao wanaagiza magari ulaya na Japan kuja Tanzania hua wanatumia calculation ya TRA Kama kielelezo Cha kuamini hiyo ndio Kodi anayopaswa kulipa, lakini jibu sahihi ni hapana, Ile calcultor inatumika kama reference tu hivyo unaweza kufika hapa nchini...
  14. kingjohn255

    Kagueni magari yenu yakitoka kufanyiwa marekebisho.

    Wewe ndio ulipigwa ATF ya Toyota type yoyote Ile inauzwa si chini ya 100k Sasa hiyo ya 65k ni zile za kutengenezwa kariakoo Ila Zina madumu ya Toyota
  15. kingjohn255

    Nahitaji kibali cha kufunga fire extinguisher na vitu kama hivyo

    Training zinafanyikia wapi na kwa mda gani mkuu
  16. kingjohn255

    Nahitaji kibali cha kufunga fire extinguisher na vitu kama hivyo

    nenda ofisi yoyote ya zimamoto na uokoaji iliyokaribu yako utapewa fomu ujaze kuomba kua fire dealer wao watakupa vigezo vinavyotakiwa Ila sharti ni wewe mwenyewe uwe umesomea mambo ya zimamoto au uwe na permanent staff alieyepata mafunzo hayo
  17. kingjohn255

    Mtaalamu wa kuandika wasifu wa kampuni(company profile) pamoja na afisa mauzo na masokoanahitajika

    Kama kichwa Cha habari kinavyoelezea, anahitajika mtu aliebobea katika uandikaji wa wasifu wa kampuni( company profile), kwa ambae anauwezo na sifa za kuandika awasilishe maombi yake Kupitia email: josephariagroup@yahoo.com sambamba na Hilo anahitajika mtu mmoja aliebobea katika sales &...
  18. kingjohn255

    Msaada wa clearing gari aina ya Toyota probox

    Inategemeana na mazingira mkuu na hiyo Hali haipo kisheria kwahyo inaweza kuwezekana na ikashindwa kuwezekana pia kwahyo haitakiw kumuaminisha kwamba Hilo linafanyika
  19. kingjohn255

    Msaada wa clearing gari aina ya Toyota probox

    Kuna muda mwingine gari inakuja invoice yake ni ndogo kuliko CIF invoice ya TRA
Back
Top Bottom