Mtaalamu wa kuandika wasifu wa kampuni(company profile) pamoja na afisa mauzo na masokoanahitajika

kingjohn255

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
383
474
Kama kichwa Cha habari kinavyoelezea, anahitajika mtu aliebobea katika uandikaji wa wasifu wa kampuni( company profile), kwa ambae anauwezo na sifa za kuandika awasilishe maombi yake Kupitia email:
josephariagroup@yahoo.com

sambamba na Hilo anahitajika mtu mmoja aliebobea katika sales & marketing
vigezo 01 awe mhitimu wa kuanzia ngazi ya astashahada Hadi shahada
02 umri kuanzia miaka 18-45
03 Ajue kuzungumza lugha ya kiswahili kwa ufasaha
04 awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe
mwisho wa maombi ni Dec 15 na usahili utafanyika kwa waliokodhi vigezo tu
Kama unasifa tajwa hapo juu na nyingine ya zaidi ambatanisha CV yako na uitume kwa...

Wewe ndio unatakiwa umuombe Mtaalam, na siyo Mtaalam kukuomba wewe.
 
Basi hiyo kampuni kuendelea itakua kazi sana kama uongozi umekutuma uandike haya, ulitakiwa useme, natafuta mtaalamu wa kuandika wasifu wa kampuni, weka mawasiliano mtu anaeweza atakufuata utatoa maelezo ya kampuni, lakini pia kuna vitu kama branding, logo, motto ulitakiwa upate mtu pia, wewe ndio utafute kama unavyoshauriwa huko juu
 
Hizo kazi naziweza zote na nina uzoefu sipo dar kwasasa nipo katoro, ninarudia naweza kuzfanya zote na nina uzoefu pia maana nlishafanya, 0629945110
 
Back
Top Bottom