Search results

  1. nice 2

    Urais 2015: CHADEMA kupoteza 45% ya kura alizopata Slaa 2010

    Endapo Zitto atafukuzwa CHADEMA, chama kitakuwa kwenye hatihati ya kupoteza 45% ya kura za urais ambazo chama kilizipata mwaka 2010. Ni dhahiri Zitto ndiye kipenzi cha watu kwenye maeneo ambayo CDM inapendwa kukiko sehemu zingine nchini.
  2. nice 2

    CHADEMA hofu/mabavu ya nini?

    Makamanda wote wa ulinzi na usalama CHADEMA nchini mmesikia maamuzi ya kamati kuu taifa kuwavua uongozi baadhi ya viongozi wa kitaifa waliokwenda kinyume na maadil, mnatakiwa kufuatilia ktk maeneo yenu ya uongozi kwa undani sana kila kitu husika na chama na kutoa taarifa kwangu au kwa mkurugenzi...
  3. nice 2

    Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

    Mhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17. Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC...
  4. nice 2

    Zitto ndani ya 835KJ

    Masaa machache yaliyopita kamanda Zitto ka tweet ujumbe huu... Zittokabwe: Naingia kambini 835KJ. Kwaherini kwa muda kidogo hapa twitani. Nawatakia ndugu zetu wa #Kenya uchaguzi wa amani kesho na wachague #Change Binafsi namtakia Zitto kila la kheri, atoke kambini akiwa amewiva zaidi...
  5. nice 2

    Uchambuzi wa kisayansi, je bunge liendelee kurushwa live?

    Great thinkers, Tokana na hili lililoibuka la kuamuriwa iwapo Bunge lioneshwe live ama lah, hebu tufanye uchambuzi wa Kisayansi kwa kueleza misimamo yetu na kupiga kura ya "Ndiyo" au "Hapana". Kwa muktadha huo, wanaotaka Bunge liendelee kuonyeshwa live waseme "Ndiyooo", wasnakubaliana na...
  6. nice 2

    Zitto awaaga wapiga kura wa Kigoma Kaskazini

    MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kutokana na kuliongoza jimbo hilo kwa vipindi viwili mfululizo, sasa ametangaza rasmi kutowania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Alisema kazi kubwa aliyoifanya kwa wananchi wa jimbo lake, imefika wakati sasa wa yeye...
  7. nice 2

    Mwenye Updates za Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA

    wana jamvi,Kile kikao tulichokuwa tunakisubiri kwa shauku kubwa kinachotarajiwa kufanya maamuzi magumu kilikuwa kifanyike leo, lakini mpaka dakika hii kimyaa hakuna updates zozote. Au kikao hakijafanyika?Tupeane taarifa...
  8. nice 2

    Zitto alia na Tembo wetu

    Operesheni linda tembo pambana na ujangili Zitto Kabwe Toleo la 277 16 Jan 2013 MWAKA uliopita, ulijaa habari za kukamatwa shehena za meno ya tembo kutoka Tanzania huko Hong Kong zikielekea China. Desemba, shehena ya tani 1.3 ya meno ya tembo iliyofichwa kwenye magunia ya alizeti ilikamatwa...
  9. nice 2

    Slaa atangaza 2013 mwaka mtakatifu

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeufananisha mwaka huu kama mtakatifu, kwa wanachama wake kujiandaa na chaguzi za mwaka 2014 na 2015. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa alipokuwa akizindua ofisi za kata na matawi maeneo tofauti ya Manispaa...
  10. nice 2

    Kwangu, Zitto Mbunge wa kipekee mwaka 2012

    Kila mkutano alianzisha na kusimamia ajenda Wengi walidandia kwa kuunga mkono au kupinga KUNA namna nyingi za kuelezea taswira ya Bunge na wabunge katika mikutano yake minne ndani ya mwaka 2012, uliokwisha. Unaweza kulielezea Bunge na wabunge kwa kutazama aina ya hoja zilivyoendeshwa...
  11. nice 2

    Kwanini Zitto anafaa kuwa Rais 2015...

    Na Ezekiel Kamwaga | Raia Mwema Toleo la 272 | 12 Dec 2012 NINAAMINI kwamba makala haya yataniletea upinzani mkubwa sana kwa baadhi ya watu ambao hawataki kusikia mtu akisema Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Kabwe Zitto, anafaa kuwa rais. Kwa bahati mbaya, wengi hawamfahamu vizuri au...
  12. nice 2

    Ndugu Zitto ziarani Ulaya

    Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi, Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ndugu Zitto Zuberi Kabwe ameanza ziara ya kikazi nchini Ujerumani ambapo atahudhuria na kuhutubia Mkutano mkubwa wa masuala ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya Ujerumani na Africa. Mkutano huo...
  13. nice 2

    Zitto: CHADEMA yaelekea kushinda zaidi ya nusu ya viti vya udiwani

    Ndugu Zitto Kabwe ambaye hivi sasa yuko Rombo kwa ajili ya kufunga campaign za udiwani kata ya Nanjarareha amehamasika na ukuaji wa mji wa Moshi na haswa mapokezi aliyoyapata kule Rombo na kukiri kwamba CHADEMA imewiva sana uko, haya ni baadhi ya maneno aliyo post kwenye ukurasa wake wa twitter...
  14. nice 2

    Mkutano wa CHADEMA Hanang 12/8/2012 VIDEO

    Naomba kuwasilisha http://youtu.be/eX0m3c3sdqc http://youtu.be/iii_xTFBd9I http://youtu.be/Hye9D8lZ9WQ http://youtu.be/71arHQ4GxgE
  15. nice 2

    Zitto afunguka na kueleza hafanyi siasa za kufuata upepo, anasimamia kanuni

    Hii ni sehemu ya majibu ya Zitto uko twitter: Aliambiwa: fredrooney: Zittokabwe my bro we need statement ukanushe hizi tuhuma kwamba ulipokea hongo kuwatetea mhando bungeni Akajibu: Zittokabwe: fredrooney sitatoa statement kwa mambo ya uzushi yanayosukumwa na agenda za kisiasa. Siku zote...
  16. nice 2

    CCM itawatishia wabunge wake hadi lini?

    Lugola akaangwa kwenye 'caucus' ya CCM kwa kauli dhidi ya Mkulo Bungeni Habari ifuatayo imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la MTANZANIA: Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo ambaye ni Mbunge wa Kilosa (CCM) amemtolea lugha chafu za matusi ya nguoni mbele za watu, mbunge wa Mwibara Kangi...
  17. nice 2

    Mnaonaje Baraza hili jipya la Mawaziri linalotarajiwa?

    Wana jamvi, katika gazeti la Mtanzania la leo kuna habari inayosema kamati kuu ya CCM inakutana leo saa 4 IKULU kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupokea mapendekezo ya party caucus ya kutaka mawaziri 8 kujiuzulu. Inasemekana kwamba CCM inafanya haraka kubadili BLM ili kuipokonya CHADEMA...
  18. nice 2

    Zitto na Halima wamwita January Makamba mnafiki

    Katika pita pita zangu uko twitter nimekutana na ujumbe huu toka kwa Zitto Kabwe na Halima mdee kwenda kwa January Makamba... Tweet from Zittokabwe ------------------------ Ni rahisi sana kujua waliotayari kuwa nje ya comfort zone. @JMakamba anaogopa chama chake. Hajui wajumbe kadhaa wa...
  19. nice 2

    Zitto Kabwe 'amwaga Sumu' Kamati ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma

    Kupata taarifa kamili, fungua attachment, 7.2 Mapendekezo ya Kamati Mheshimiwa Spika,kwa kuzingatia kanuni za kudumu za Bunge Toleo la mwaka 2007, Naomba kuwasilisha Mapendekezo ya Kamati kama ifuatavyo; 7.2.1 Mheshimiwa Spika, kwa kuwa Kamati imebainisha kuwa Mashirika...
  20. nice 2

    Utabiri wa Zitto watimia

    Hatimae yale aliyoyatabiri Mhe. Zitto Kabwe katika mkutano wa lala salama kule Kirumba Mwanza yametimia. Jionee mwenyewe..... Peopleeessssssssssssssssssssss ssssssssss
Back
Top Bottom