Search results

  1. Mtali

    Samsung J7 unlock

    Jamani naomba msaada w ku unlock simnetwork ya Samsung galaxy J7 model SM-G700M. Maana imelock ghafla. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mtali

    Smartphone Network Unlock

    Wakuu wa kaya poleni na majukumu. Mwenzenu nahitaji ku unlock network ya Samsung J7 (J700M). Natanguliza shukrani zangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mtali

    Activation of Microsoft Office 2019

    Wandugu naomba msaada namna ya kuactivate MS Office 2019. Mie Inanisumbua sana. Natanguliza shukrani zangu.
  4. Mtali

    Huawei yangu inashidwa ku bootload

    Jamani ninaomba msaada namna ya ku bootload simu yangu ya huawei G535-L11. Niki iwasha inaishia njiani na inaleta message Bootload Failed to Verify. Bootload Status LOCKED. Naombeni msaada nifanyaje
  5. Mtali

    Nahitaji Boxer BM150

    Kama title inavyojieleza hapo juu. Ninahitaji Pikipiki Boxer BM150 iliyo katika hali nzuri kwa bajeti ya 1.5m. Reg number kuanzia CY.....
  6. Mtali

    Powder Refill Ink for Brother Printers

    Wakuu habarini za majukumu ya kifamilia na kitaifa. Mwenzenu nimekuwa nikihangaika namna ya kupata Brother Cartridge Refill Powder kwa ajili ya printer zangu. Shida ni kwamba Cartridge za hawa jamaa ni bei mbaya na kurasa inatoa chache sana na wino unakuwa umeisha. Sasa kiuchumi inaumiza sana...
  7. Mtali

    Malcolm X Audio Speeches

    Wandugu habarini za leo. Nahitaji kupata audio za speech za Malcolm X mpigania haki za watu Weusi. Naombeni msaada mahali napoweza kuzipata. With Respect to you all..... Mtali
  8. Mtali

    Ziara za JK na dhihaka kwa wa Tanzania Ughaibuni

    Samahani wanajamvi nimeona hili nilizungumze kwa mtizamo wa ndani kidogo. Katika hali ya fedheha kuhusiana na safari za mheshimiwa mwenye nchi ktk nchi za Ulaya na Marekani. Nina maswali haya ya awali;- Ni Safari ngapi Mheshimiwa amefanya safari nchi za Ulaya na Marekani mwaliko wa Marais ktk...
  9. Mtali

    Kwa nini Hivi Nyambari Nyangwine??????

    Jamani wana Jamii Forum Nyambari Nyangwine amepotelea wapi? Maana ni siku nyingi hasikiki au yupo kusaini mikataba ya Ukimya....... Au amefichama baada ya kuona vita ni kali??????
  10. Mtali

    Miziki ya Kikongo man

    Waungwana nina hitaji miziki ya kikongoman nitaipata wapi? If there is somebody knows please tell me...... hata kama ni kudownload please tell me....
  11. Mtali

    Kutapika Damu kwa Mtoto wa umri wa Miaka miwili tatizo nini?

    Ndugu wanajamii humu ni wiki moja imepita nimeshuhudia mtoto akitapika damu kwa wingi hadi niliogopa kwani sija wahi kuona tatizo kama hilo. Hivi tatizo hili linatokana na nini? Na matibabu yake ni yapi? Na matibabu yanapatikana wapi ndugu zanguni? Nahitaji msaada wenu kujua hili na kulishughulikia.
Back
Top Bottom