Search results

  1. LUS0MYA

    Je Makonda kapata au kapatikana?

    Sijui Moderators mnachoka huyu jamaa anasema Makonda amemuibua Rais Mstaafu wakati aliyetangulia kusema ni Rais Mstaafu kwenye mkutano mkuu?Tulinde hadhi ya hii forum tusilete post za Facebook humu.
  2. LUS0MYA

    Binti Matola mwanamama shujaa aliyepinga uhuru wa Tanganyika kuwa 1971

    Pamoja na ukristo wangu naumia sana pia mchango wa uislam na waislam katika historia ya nchi yetu usivyotajwa popote. Na hata uamuzi wa waislamu kubariki mkristo Mw Nyerere kuwa kiongozi wao ndiyo chanzo cha umoja tunaojivunia leo...
  3. LUS0MYA

    Binti Matola mwanamama shujaa aliyepinga uhuru wa Tanganyika kuwa 1971

    Historia ya Tanganyika imemficha mwanamama huyu ambaye alipingana na viongozi wa Tanu wakiongozwa na Mwalimu Nyerere na wazo la UN kuwa Tanganyika ipewe Uhuru mwaka 1971 na kushinikiza uhuru wa Tanganyika kuwa 1961 na kuleta slogan maarufu wakati wa uhuru ñi sasa. Kuendelea kutawaliwa na...
  4. LUS0MYA

    Serikali iongeze kiwango cha ufaulu kudahiliwa katika vyuo vikuu

    Ni wakati sasa serikali kufanya maamuzi ya kuongeza kiwango cha ufaulu kwa udahili wa wanafunzi kujiunga vyuo vikuu ili kulinda hadhi ya vyuo na kupata graduates bora katika soko la ajira. Napendekeza kiwango cha CCC kitumike na wanafunzi watakaoshindwa kupata hiyo sifa wajiunge na kozi za...
  5. LUS0MYA

    Kikokotoo turufu ngumu kwa CCM na Serikali yake

    Suala la kikotoo lilianza tangu kipindi cha awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete lakini zilitengenezwa mbinu fulani likahairishwa na mfupa akatupiwa Hayati Magufuli katika awamu ya tano. Pamoja na sifa ya ujasiri wa kutoa maamuzi magumu magufuli naye alilitelekeza kinamna kwa kulipiga kalenda na...
  6. LUS0MYA

    TANZIA Ahmed Yahya Abdulwakil, mbunge wa Kwahani afariki dunia

    Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha mbunge wa Jimbo la Kwahani, Zanzibar Ahmed Yahya Abdulwakil ambaye amefariki ghafla kwa shinikizo la damu. Dkt. Tulia amelazimika kuahirisha shughuli za Bunge hadi Aprili 15, 2024. Ahmed Yahya Abdul-wakil enzi za uhai wake ---...
  7. LUS0MYA

    KERO Hali ya barabara jimbo la Kibamba mkoani Dar es Salaam ni mbaya sana

    Wakati mwingine watu wanajiuliza hili jimbo lilianzishwa kimakosa? Barabara zote muhimu ni chakavu na sio za lami. Nilipita barabara ya kibanda cha mkaa kwenda mjimpya nikajiuliza hili jimbo lina Tarura? Na kama Tarura ni wazembe mbunge na diwani na hata chama tawala wako wapi? Kimsingi hili...
  8. LUS0MYA

    Serikali iangalie upya ruhusa ya maduka ya fedha za kigeni

    Athari ya kuwa na maduka ya fedha za kigeni mtaani inajitokeza na tayari athari zimejitokeza. 1. Fedha ya Tanzania sio stable tena inabadilika badilika hivyo kuharibu mfumo wa bei ndani ya nchi. 2. Mwanya kwa viongozi wasio waaminifu kupokea rushwa bila kuonekana kwa kuwa miamala hiyo ni ngumu...
  9. LUS0MYA

    Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Sababu zulizomuondoa uenezi CCM dar ndizo zinamkaba
  10. LUS0MYA

    Hasara ATC; Serikali isitumie ndege za ATCL kwa safari za viongozi na zisizo za kibiashara

    Tunaweza kuweka lawama kwa hili shirika lakini kwa hivi karibuni ndege zake zinatumika sana kwa safari za kiserikali na ambazo sio za kibiashara. Hii mara nyingi husababisha kuchelewa au kahairisha au kupunguza safari. Ni afadhali serikali ipewe ndege moja ya ATCL kwa ajili ya viongozi na mambo...
  11. LUS0MYA

    Iweje mwekezaji wa kuendesha mradi wa mwendokasi atajwe kabla ya utaratibu?

    Majuzi taarifa zilijitokeza kuhusu kupata mwendeshaji wa mradi wa mabasi ya mwendokasi na idadi ya makampuni ya nje na mawili ya ndani yaliyojitokeza kuingia kwenye mchakato... lakini siku mbili baadaye kampuni ya ENG kutoka uarabuni imetajwa kama mwekezaji mpya? Huu mchakato ulifanyika lini na...
  12. LUS0MYA

    DOKEZO Wananchi hatumtaki Mjumbe wa Mbezi Msumi (Dar), anatumia madaraka yake vibaya

    Hakuna check cha mjumbe kinachotambulika kisheria katika ugatuzi wa madaraka..hao wajumbe hawana mamlaka kisheria zaidi ya mamlaka kama raia au mwananchi...wapo kwenye mfumo wa CCM na hata huko CCM hawajapewa hizo kazi wanazofanya.Wajumbe mara nyingi wanatumika na. Ofisi za serikali ya mitaa kwa...
  13. LUS0MYA

    Mbowe: CHADEMA hatutashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Nafikiri wananchi watafute vyama mbadala kwani hivi vya upinzani kuna kila dalili vimekuwa compromised. Unafikiri usiposhiriki uchaguzi utapata kitu gani?
  14. LUS0MYA

    Unadhani Wabunge wataacha kutibiwa Agha Khan kwa sababu ya Kitita cha NHIF?

    Sawa kabisa kutafuta viyoyozi lakini kwa uwezo wataalamu na vifaa tiba Muhimbili ipo juu mbali sana...na hata madaktari wengi huko Aghakan wanatoka Muhimbili....shida kubwa ni kwamba iwapo bima hailipi consultation fee maana yake management ya hospitali itahitajika kuwalipa madaktari wanaoazimwa...
  15. LUS0MYA

    NHIF msicheke na nyani mtavuna mabua

    Biashara sawa lakini sio cartels...nenda popote duniani hairuhusiwi
  16. LUS0MYA

    NHIF msicheke na nyani mtavuna mabua

    Sekta binafsi ya wizi hata ikifa hakuna shida yoyote... mfumo wa bima unasaidia wote wenye vipato na wasio na vipato ... mnapofanya wizi wenu mnaharibu uwezo wa bima kusaidia watu wengi zaidi.... kama unaona wewe upo sawa weka hiyo taasisi yako hapa tuwavue nguo. Mmezoea kula fedha za NHIF...
  17. LUS0MYA

    NHIF msicheke na nyani mtavuna mabua

    Ni ukweli usiopingika kwamba hizi private hospitals zinaiba sana kupitia bima za afya za wananchi...na pale mfumo wowote ukibuniwa ukaonekana kuwabana vita inakuwa kubwa sana. Ukweli ni kwamba hospitali nyingi za binafsi survival yao inategemea NHIF. Zipo njia mbalimbali zinazotumiwa na...
  18. LUS0MYA

    Kwa vyanzo hivi vya umeme Serikali na TANESCO mnakwama wapi?

    Jaribu kupitia vyanzo vya umeme wa tanesco kama ilivyoambatanishwa na andiko hili ili kujua panapovuja ni wapi. Vyanzo vikuu ni kutokana na maji na gesi lakini gesi ndiyo inayoongoza. Vituo vya gesi 1.Kinyerezi 398MW 2.Ubungo power plant 231MW 3.Songas 189 MW 4.Tegeta Thermal 45MW 5.Somanga...
  19. LUS0MYA

    Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

    Hapa mnasahau kuwa tawala na upinzani hata milioni kumi hamfiki lakini mnataka kuwasemea na wale wasio na chama chichote...ambao ndiyo wengi ipo siku moja hqipo mbali mtashangazwa
Back
Top Bottom