Huyu Ni Mchungaji wetu ...Si kama mnavyofikiri ,amekuwa na wakati mgumu toka Magufuli awe Raisi.Si mtu wa kutafuta attention lakini inabidi aendelee na majukumu ya Uchungaji..
Hakuna lolote,tukipita sie tusiokuwa na nyunga mnatunyanyasa kama nini.na vizawadi vyetu vya korosho na viungo vya pilau.wenzetu na mikilo yote ya drugs,mtadai labda maziwa.msonyoooo.
Habari wanajf natafuta supplier wa matunda yafuatayo strawberry,Raspberry na grapes.Tafadhali kama wewe ni supplier au unamfahamu mtu anayelima huko singida ,Arusha na Iringa,tuwasiliane kwa namba hii 0659566825.Natanguliza shukrani.
Wadau mnanikumbusha kisa cha rafiki yangu kumkopesha Boyfriend wake 2008,na hajamlipa mpaka leo 2011.Bahati mbaya 2010 waliachana.Shosti wangu kapigania pesa zake mpaka amemshukuru Mungu Amezisamehe namwonea huruma sana.
Binafsi nimejifunza kutoka kwake sikopeshi mtu anayeitwa boyfriend au...
Wakuu,kama kuna mtu anahitaji Housekeeper,mchapakazi , mwaminifu na amesoma Veta Mikumi ,muda wa miaka 2na nusu.Tafadhali ni pm au nipigie simu no 068490066.Ana experience ya kazi toka sehemu kama ,southern sun Hotel na Sea cliff Hotel.Asanteni Sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.