Natafuta supplier wa matunda

nacyma

Member
Aug 4, 2011
14
4
Habari wanajf natafuta supplier wa matunda yafuatayo strawberry,Raspberry na grapes.Tafadhali kama wewe ni supplier au unamfahamu mtu anayelima huko singida ,Arusha na Iringa,tuwasiliane kwa namba hii 0659566825.Natanguliza shukrani.
 
Habari wanajf natafuta supplier wa matunda yafuatayo strawberry,Raspberry na grapes.Tafadhali kama wewe ni supplier au unamfahamu mtu anayelima huko singida ,Arusha na Iringa,tuwasiliane kwa namba hii 0659566895.Natanguliza shukrani.
Nimejaribu kuipiga hiyo number haipatikani, tuwasiliane kwa e mail, mgumu19@gmail.com naweza supply hizo
 
Wakunyumba asante sana nimeshakutumia email.Na namba nilikosea nimesharekebisha karibu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom