Search results

  1. T

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Tuanze na wew jibuu
  2. T

    Wabunge wa upinzani bungeni

    Suala je Rais halitambui hili au kamasusia ndugai
  3. T

    Wabunge wa upinzani bungeni

    Duh kwa kili hizi tutafika kweli
  4. T

    Wabunge wa upinzani bungeni

    Habarin wadau .... mi nlkua naulizia suala.la wabunge wale wa chadema almaarufu kama covid19 je bado wapo kisheria pale bungeni huku wakiwa wamevuliwa uanachama? Rais hajaliona hili? Kesi yao ile imefikia wapi?
  5. T

    Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

    Ni utaratibu maaskari kusamehewa, Pia wale wa tuhuma ya madini Mwanza walisamehewa.
  6. T

    Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

    Hatuwez pambana nae only Jesus can do that
  7. T

    Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

    As Christian nijuavyo dhambi ni uasi uasi ni kwenda kinyume /against God sasa kwanin shetan alitoka wapi ...? One thing Shetan ni jina la laana kabla hapo alkua lusfa... Lusifa then shetan huyu hakwenda against sheria za Mungu bali kutak utawala kabisaa yaani kumpindua Mungu utawala wake apa...
  8. T

    Mungu hakupaswa kumuumba binadam kabla hajarekebisha makosa yaliyosababisha shetani kuasi.

    Kuna jambo kubwa limezungumzwa mara nying kwe biblia kuliko jambo lolote lile nalo ni "UFALME WA MBINGUNI" Apa ndipo kuna siri zote yahitaji uongozi wa Roho Mtakatifu kujua kila kitu
  9. T

    Ukweli kuhusu kile kinachoitwa Chunusi

    Kama hutojali bro nitumie link telegram ni follow channel yako kujua mengi coz una madini 😋😋 zaid I hope una group kule naona what's app hupendelei
  10. T

    Ukweli kuhusu kile kinachoitwa Chunusi

    Aisee kuna Mada hua zanipitaga sana na jamaa angu ivi ivi mkoani alienda kuogelea sehem flan porin kwe mto akapotelea kesho yake kaonekana nje ya mto tiari mbele za haki nakukubali sana Mshana Jr
  11. T

    TANZIA: DCP Aziz Juma, amekutwa amejinyonga nje ya nyumba yake Kibweni Zanzibar

    Hadi sasa sijaona kwanini kajinyonga anyone knows 😌 chanzo cha kufanya hivi nin haswa
  12. T

    Rais Magufuli tafadhali tuondolee hizi mbio za mwenge na utuachie mwenge wetu wa uhuru

    Haya mambo yatakuja kuondok ila taratibu sana coz kumkatia mtu ulaji sio kazi Rahisi ata kidogo inaweza mcost ata Rais mwenyew huwez jua kuna wakuu wangap wanakula apo kwe mwenge shangaa Rais anatawal miaka 5 tuu anakuja mwingine.... But bora hasara kuliko lawama fyekelea mbali mbio za mwenge...
  13. T

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Nimepata ham sanaaaaaaa ya kufungua jicho la 3
  14. T

    Wasanii wengi wanaziondoa Nyimbo za R. Kelly vipi kuhusu Alikiba?

    What that means kuziondoa hazipigwi redion tena?? Ufafanuz zaid mnaojua
Back
Top Bottom