Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,157
Nilivyoona hiyo heading kwenye official page ya serikali "elewa kuhusu SADC" nikaamini sasa angalau hata wasio fahamu SADC ni kitu gani, historia yake, iliundwa kwa malengo gani na inaumuhimu gani wataelewa kupitia hapa!
Bahati mbaya nimekutana na kitu tofauti kabisa kiasi kwamba watu wasioifahamu SADC ni nini bado watabaki kushangaa kilichoongelewa kwenye katuni hizo.
Ingekuwa vema sehemu hizi zikatumika kutoa elimu kwani si wote wanaoelewa historia na malengo ya kuwepo kwa SADC.
Nilitegemea angalau kwa kuanzia, post ingejibu maswali muhimu mawili;
1. Unafahamu nini kuhusu SADC?
2. Tanzania inanufaikaje kuwepo SADC?
Lakini cha ajabu Tazama mwenyewe picha hapo chini wasomi wa nchi yetu walichotuwekea chini