Search results

  1. J

    Zitto Kabwe alazwa hospitali

    Pole mwana harakat hayo ni majaribu katika maisha utashind ugua pole tunaomba mungu upone mapema
  2. J

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Marekani wamesha maliza unafiki wao wamemuuwa Gadaff ambaye ana ata atia eti wanadai anauongoz wa kibabe wakati kitu icho akipo ila ni unafik na ulasimu wa mmalekani tu imeniboa sana wanajamii hii taalifa ya leo
  3. J

    Chuo kipi kinawanawake wazuri na warembo

    Acha kwa watoto wa zuri udsm bana
  4. J

    JF imempeleka Kawambwa UDOM?

    Maswar hayo bado hayana maana uko UDOM ameletwa JF bac ss
  5. J

    Huu ni ukatili uliopitiliza

    Hey samahan ivi kwer iyo mambo coz n ukatil mkubwa sn uwo na naomba kujua ukumu yake uyo mjamaa
  6. J

    Nifanye nini ili mpenzi wangu aniamini.....

    Hey jalibu kuwa naye karibu karibu na kumpa v2 anavyopenda na kumcare kwa umakin sn atakuamin sn na atakupenda na ata kuamin hey fanya ivyo utawin
  7. J

    Masikini Diamond huu ndo mwanzo wake wa kufilisika

    May b kuna matatizo coz huyo kjana anaga matatizo kiufupi muhim promota achonge na huyo kjana mishe ilo mfanya actimbe pande za chuga
  8. J

    Sheikh auawa kinyama

    Inalilah wainailah lajiuna shekh daah ndugu zangu 2napoelekea kubaya sana 2wemakin na mambo 2nayoyafanya
  9. J

    Hii ni aibu Marine Hassan!

    Sio siri asilimia kubwa ya watanzania kingereza bado sana na ata wale ambao wanakijua wanapokutana na wagen huwa wanaingiwa na uwoga sana ndo mana maneno mengi hukosea sana tena kwa hili 2simlaum bwana Marin sana 2jifunze au kama vp 2pige kiswahili mwanzo mwisho ni che2 ichi
  10. J

    Bingwa wa kuigilizia.....

    He so creative but its so danger for his life and his community
  11. J

    I feel really lonely today!

    Tafuta novel usome ukifanya ivyo utakua upo nafulaha sana tu
  12. J

    Moyo ukikataa unaweza sema kwa mwenzio?

    Inatisha ila ni ngumu sana kumwambia mtu ulie kua nae kimapenzi kuwa ulikua umpendi mi ningeshindwa
  13. J

    Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    Jamani tukae tufikilie tujue tunaitaji mabadiliko ya uwongozi sio kuzur tunakoelekea
  14. J

    Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    Ata mbeya kuna mgomo wa wauza mafuta Tanzania sijui inaelekea wapi umeme nao shida
Back
Top Bottom