Search results

  1. skate-board

    Kweli nimeamini lisemwalo lipo!

    Habari wakuu.. Niende moja kwa moja kwenye mada, Kwakweli wale waliowahi kusema kuna wanawake ukilala nao basi unapata mkosi mimi yamenikuta! Kuna manzi moja nimeshaipiga mara tatu na katika mara zote tatu kila nikishatoka kumzagamua basi lazima nipate ajali ya pikipiki ninayomiliki! Basi...
  2. skate-board

    Je, milioni 16 nitafikia wapi?

    Habari wakuu, Kuna boma nilinunua huku mkoani nilipo, lilikua limebakia kupauliwa tu ni boma la vyumba vitatu, master bedroom, public toilet, sitting room, dinning, kitchen na stoo, ina veranda mbili. Kwa sasa nimejichanga niko na ml 16 je ninaweza kuingia ndani nyumba ikiwa na hali gani...
  3. skate-board

    Wataalam wa Ujenzi: nyumba kama hii unaweza kugharimu kiasi gani?

    Habari wajenzi, ninataka kufahamu gharama za kujenga nyumba kama hii apa kuanzia msingi hadi kupaua tu inaweza kugharimu kiasi gani? Mazingira niliyopo kwa boma msingi utakuwa wa mawe na tofali za kuchoma,tofali zitajengewa kwa cement, bati ziwe za migongo midogo.
  4. skate-board

    Wajuzi wa computer msiache kupitia uzi huu

    Wakuu.. Nina laptop niliuziwa ikiwa na Bios passoword bila kujua, Naomba mnisaidie je hii password inaweza kutoka? / Na pia nifanyeje ili niweze kuweka window maana nimekwama kabisa. Chief-Mkwawa
  5. skate-board

    Msaada; Magonjwa haya mawili yanahatarisha afya ya mama yangu

    Wakuu kwema, Suala lililonileta hapa ni kuhusu mama yangu ambae anasumbuliwa na magonjwa haya mawili KISUKARI NA PRESHA. Mwezi huu alikwenda hospitali ikawa presha iko juu sana na ikabidi wamuanzishie dozi ya presha pamoja na sukari, sasa dozi ni kila baada ya siku5 na sijui kama kuna mwisho...
  6. skate-board

    Kwa matokeo haya ya dogo niendelee kumipia ada???

    Wakuu kama heading inavyojieleza haya hapa ni matokeo ya dogo langu liko chuo, Sina ufahamu sana n hayo masuala ya GPA.. Je kwa matokeo haya niendelee kumlipia dogo ada au ni chengaaa
  7. skate-board

    Msaada kuhusu bima ya afya.NHIF

    Vipi wakuu, Ni hivi nina mpango wa kufuatilia bima ya afya, sasa nasikia sasa hivi hawaruhusu wategemezi wengine zaidi ya watoto wako tu,maana nilitaka nikate ya mama yangu! Je ningependa kujua kuna ukweli wowote juu ya hili??
  8. skate-board

    Msaada: Laptop yangu acer aspire v3-531 haipeleki chaji ghafla tu

    Wakuu kwema... Nina laptop yangu acer aspire v3-531 haipeleki chaji ghafla tu wakati naitumia na adapter inaonesha moto upo nimejaribu na testa,. Shida hapa itakua ni nini wakuu???
Back
Top Bottom