skate-board
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 489
- 575
Wakuu kwema...
Nina laptop yangu acer aspire v3-531 haipeleki chaji ghafla tu wakati naitumia na adapter inaonesha moto upo nimejaribu na testa,.
Shida hapa itakua ni nini wakuu???