Search results

  1. O

    Ngazi za Mishahara Tanzania Inestment Centre

    Habarini wakuu, Naomba msaada kujua level za mishahara ya Tanzania Investment centre specifically TIC GS 8 ni kiasi gani? Shukrani kwenu wakuu.
  2. O

    Mpya: Viatu vya mtumba kwa sh. 250,000 tu kwa belo

    Ulishanunua kwao wakakupa mzigo chini ya kiwango?
  3. O

    Pata nguo za Mitumba, Grade A

    0716147696 naomba niwekwe kwenye hilo group nahitaji nguo
  4. O

    Pita hapa vitu vya ndani vinauzwa kwa nusu bei kwa DSM

    Nitumie pucha ya shoe rack 0716147696
  5. O

    Kununua Kiwanja au kuanzisha mradi

    Asanteni kwa ushauri wenu wakuu.I think Ishould go for land then
  6. O

    Kununua Kiwanja au kuanzisha mradi

    Hayo ni mawazo yangu. Nahitaji na nyie mnishauri kwa kutokana na uzoefu wenu
  7. O

    Kununua Kiwanja au kuanzisha mradi

    Habari wakuu. Naombeni ushauri ktk hili Nina options mbili, either kununua kiwanja au kufungua mradi kidogo miezi michache ijayo. Vyote ni vya muhimu na siwezi kuvifanya kwa pamoja maana resources hazitatosha. Nawaza thamani ya ardhi inazidi kupanda naweza kuingia gharama kubwa nikinunua...
  8. O

    Kiwanja Mwasonga 32Mx100M kinauzwa

    Hicho kiwanja hakipo ndani ya eneo la kutengeneza mji wa kisasa ule wa mpango na bush?
  9. O

    Plots/land/viwanja vya bei nafuu

    Ni vizuri kutoa tangazo lenye taarifa kamili kama viwanja vimepimwa au vina hati, kama kuna huduma za kijamii karibu kama umeme, maji shule, hospital n.k. Maelekezo ya kufika huko hata kwa mtu asiye mwenyeji wa dar pia ni muhimu.
  10. O

    Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Mi nimeshaweka hapo i&m minimum amount ni laki moja na hiyo 11% ni per annum, miezi 6 ni 10% kama sijasahau
  11. O

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Hivyo viwanja vina hati? Mbona hilo swali hujajibu
  12. O

    Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Mi naombeni mnisaidie benki gani inatoa interest kubwa. So far najua i&m ndo inatoa 11% kwa mwaka
  13. O

    Mwenye habari za interview Oryx

    Second interview itakua ijumaa ndugu dyuteromaikota
  14. O

    Mwenye habari za interview Oryx

    ukipata basi taarifa tujuzane ili tusiendelee kujipa fake hopes
  15. O

    Mwenye habari za interview Oryx

    Naomba kama kuna alie apply Oryx position ya assistant accountant au anaejua kua watu wameshaitwa au tuendelee kua na matumaini
  16. O

    msaada wa haraka kuhusu laptop unahitajika please

    Wadau hebu tupieni maujuzi niokoe hii laptop
  17. O

    msaada wa haraka kuhusu laptop unahitajika please

    Habari wadau. Ninatumia accer aspire 5250BZ467. Hii laptop ukiwasha inatoa mlio mkali sana, ukiizima Kisha ukiwasha tena baada ya muda ndio inawaka. Vilevile Mara nyingi namba '7' hujiandika yenyewe bila mimi kuandika nikiwa na type hata sehem ya kuandika password saa ya Ku log in computer. Ni...
  18. O

    Msaada please

    Habari waheshimiwa. laptop yangu ina tendency nikiwasha inaptoa mlio mkali sana badala ya kuwaka, naizima kisha baada ya muda nikiwasha inawaka vizuri. Pia sehem ya kuandika password kuna keys zinajiandika bila mimi kuandika, pia hata nikiwa na type hizo key huwa zinajiandika, na huwa ni namba 7...
  19. O

    Tree houses

    Utamaduni wa kigeni huu...japo ni sehem nzuri ya watoto kucheza
  20. O

    nauza kiwanja miguu 20 x 20

    Kimepimwa? Kina hati?
Back
Top Bottom