Msaada please

Msaada please

Old Moshi

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
118
Reaction score
32
Habari waheshimiwa. laptop yangu ina tendency nikiwasha inaptoa mlio mkali sana badala ya kuwaka, naizima kisha baada ya muda nikiwasha inawaka vizuri. Pia sehem ya kuandika password kuna keys zinajiandika bila mimi kuandika, pia hata nikiwa na type hizo key huwa zinajiandika, na huwa ni namba 7 ambayo button yake kwa kawaida hai function. naombeni mnisaidie ni tatizo gai na nitalitatuaje. asanteni.
 
nikiwasha inaptoa mlio mkali sana badala ya kuwaka, naizima kisha baada ya muda nikiwasha inawaka vizuri.
  • Ondoa sauti kabla ya kuizima PC yako, hii itasaidia pindi uwashapo isipige hizo kelele
IDwZSS
Pia sehem ya kuandika password kuna keys zinajiandika bila mimi kuandika, pia hata nikiwa na type hizo key huwa zinajiandika, na huwa ni namba 7 ambayo button yake kwa kawaida hai function. naombeni mnisaidie ni tatizo gai na nitalitatuaje.


  • Tatizo ni hiyo key no.7 , kuna alternative mbili.
  • Wapelekee mafundi wakusafishie hiyo keypad na ikishindikana itabidi ununua keypad mpya

Habari waheshimiwa. laptop yangu ina tendency nikiwasha inaptoa mlio mkali sana badala ya kuwaka, naizima kisha baada ya muda nikiwasha inawaka vizuri. Pia sehem ya kuandika password kuna keys zinajiandika bila mimi kuandika, pia hata nikiwa na type hizo key huwa zinajiandika, na huwa ni namba 7 ambayo button yake kwa kawaida hai function. naombeni mnisaidie ni tatizo gai na nitalitatuaje. asanteni.
 
Dalali za keyboard kufa.

Ikishaanza kujiandika pasipo kubofya...
Basi ujue keyboard ndo inakaribia omega.

Jaribu kusafisha kwa blower ili utoe vumbi.
Tatizo likiendelea ...tafuta fundi.
 
Back
Top Bottom