Ngazi za Mishahara Tanzania Inestment Centre

Old Moshi

Senior Member
Jul 31, 2011
118
32
Habarini wakuu,

Naomba msaada kujua level za mishahara ya Tanzania Investment centre specifically TIC GS 8 ni kiasi gani?

Shukrani kwenu wakuu.
 
Binafsi sielewi chochote kuhusu izo TIC GS sijui ndo vitu gan, naomba ufafanuzi kuhusu ivyo vitu/level pamoja na rank zake za mishahara tafadhali, ili nami nijue
 
Back
Top Bottom