Search results

  1. Burton86jm

    Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Ila changamoto ya silent ocean ipo na kwa agents wengine mizigo inachelewa mpaka unasahau uliagiza ni nini? Miezi hadi 3?.....je? Huko kwingine kukoje?
  2. Burton86jm

    Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Uwa si dili na mitumba ila nikupongeze sana kwa kutokuwa na roho ya choyo,Mungu akubariki utafika mbali.Uzi mzuri sana.
  3. Burton86jm

    Furahia tv yako na ANYCAST kwa Tsh.40,000/=

    Ndio haina haja ya smart tv ilimladi iwe na Hdmi na sehemu ya usb tu.
  4. Burton86jm

    Furahia tv yako na ANYCAST kwa Tsh.40,000/=

    Teknolojia inazidi kwenda kasi,Sasa unaweza itumia tv yako kama Smartphone yako,kwa kifaa cha Adapter miracast (Anycast) kwa Tsh.40,000/= tu,ni wireless display mpaka kwenye Tv yako kwa umbali wa mita 15.Tazama hapa video ya matumizi yake. Sent from my AllCall_S1_X using JamiiForums mobile app
  5. Burton86jm

    Kwa waliowahi kutumia hizi brand za smartphone

    Unapo nunua simu unakua na interest nayo kwa viti ulivyopenda wewe umependa vigezo hivyo mi nimependa kukaa na chaji na bei yake nzuri ni nafuu sana,sasa unadhani kila mmoja unataka afanane na unachopenda wewe jamaa kauliza majina ya simu aliexpress na walio wai zitumia hiyo tecno anaijua hana...
  6. Burton86jm

    Kwa waliowahi kutumia hizi brand za smartphone

    Monkers tunawajua,ambao mnabisha bila kujua kitu.
  7. Burton86jm

    Kwa waliowahi kutumia hizi brand za smartphone

    Mi natumia All call S1 ni nzuri nimeipenda charge ni 5000mah nzuri saana aisee
  8. Burton86jm

    Naomba msada wa mpesa-mastercard

    Ipo bado bhana imejificha kwenye menu ya tuma pesa kama sijakosea. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Burton86jm

    Orodha ya vitabu nilivyosoma 2018

    Mkuu hivi ni spritual books au??
  10. Burton86jm

    Angalia mpira wa ulaya EPL na Laliga nyumbani buree

    Kwani mpaka sasa huduma hii ipo au baada ya sport24 kupotea nayo ikapotea?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom