Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Mi natumia All call S1 ni nzuri nimeipenda charge ni 5000mah nzuri saana aisee
Sasa kama kuna iphone milioni mbili na Samsung mili 2.Ukiwa mgonjwa wa Samsung na iPhone huwezi kuyaona but wengine hawanunui simu jina wananunua kutokana na zinawatosheleza kwa yale wanayoyataka?
Na mara nyingi huwa ni nzuri utashangaa una Xiaomi yako mkononi haijawahi kukusumbua but ukipita kwenye vibanda vya mafundi simu utakuta wameweka sample za Samsung na iPhone mbovu.
Mkuu ulinunua wapi hiyo na kwa gharama gani?Mi natumia All call S1 ni nzuri nimeipenda charge ni 5000mah nzuri saana aisee
Hapo hamna simu, ni powerbank tuMi natumia All call S1 ni nzuri nimeipenda charge ni 5000mah nzuri saana aisee
Monkers tunawajua,ambao mnabisha bila kujua kitu.Hapo hamna simu, ni powerbank tu
Sasa bro simu ina mediatek na bado ram yake gb2 16g rom si bora hata uwe na tecno L9 plus kdg kali,Monkers tunawajua,ambao mnabisha bila kujua kitu.
Unapo nunua simu unakua na interest nayo kwa viti ulivyopenda wewe umependa vigezo hivyo mi nimependa kukaa na chaji na bei yake nzuri ni nafuu sana,sasa unadhani kila mmoja unataka afanane na unachopenda wewe jamaa kauliza majina ya simu aliexpress na walio wai zitumia hiyo tecno anaijua hana shida nayoSasa bro simu ina mediatek na bado ram yake gb2 16g rom si bora hata uwe na tecno L9 plus kdg kali,
Inafanya kazi,zile ni global versionMimi niliipenda Doogee y7plus lakini nina wasiwasi na frequency zake na zile zinazotumika hapa kwetu je inaweza kufanya kazi kwenye mitandao yetu kama tigo,airtrl. Voda n.k ? Au nso inakuwa sio compartible hapa kwetu? Mwenye kujua anijuze tafadhari
Kati ya watumiaji wa simu 1000, tecno wapo 500, samsung 400, iphone 50 na hizo brand nyingine 50.Ukiwa mgonjwa wa Samsung na iPhone huwezi kuyaona but wengine hawanunui simu jina wananunua kutokana na zinawatosheleza kwa yale wanayoyataka?
Na mara nyingi huwa ni nzuri utashangaa una Xiaomi yako mkononi haijawahi kukusumbua but ukipita kwenye vibanda vya mafundi simu utakuta wameweka sample za Samsung na iPhone mbovu.
doogee ni simu nzuri kuna kaka yangu anayo x70 ipo poa tu mkuu mwaka 2012 nilikua natumia hoppo rafiki zangu walikua wananiambia ni simu feki leo hii wametambua ni simu og kuliko tecno zaoMimi niliipenda Doogee y7plus lakini nina wasiwasi na frequency zake na zile zinazotumika hapa kwetu je inaweza kufanya kazi kwenye mitandao yetu kama tigo,airtrl. Voda n.k ? Au nso inakuwa sio compartible hapa kwetu? Mwenye kujua anijuze tafadhari