Search results

  1. B

    Mbeya city vs Coastal union

    Leo hawa jamaa wanaweza wakapoteza point zote tatu: ila huwa watata jamaa hawa!
  2. B

    Mbeya city vs Coastal union

    endelea kutujuza ndugu
  3. B

    Mtatiro kukusanya saini za wajumbe wa bunge la katiba wanaopinga posho

    Ikiwa anatafuta sifa kwa kutufaidisha sisi wananchi tuliowengi waTanzania mimi namuunga mkono! nawengine watafute sifa zinazofanana na hizo! saaaafi sana!
  4. B

    Ujumbe wa simu unaosambazwa kwa wajumbe wa katiba kuhusu posho na hoja ya serikali 2. Hatari!!!!!!!

    Hili nalo ni janga! Kilichobaki sasa ni kuwaambia wasiokubali waandike majina yao ili wafahamike na kisha waambiwe nyie ambao pesa hiyo haiwatoshi tumewashindwa! rudini kwenu
  5. B

    Naomba msaada: tatizo la kuzidi damu mwilini je nifanyeje ili hali yangu irudi kawaida?

    huyu mtu tumsaidie kwa kumueleza vyakula vya kutumia mfano juice ya limao, mboga za majani zilizopikwa sana (kula makapi), kunywa maji kwa wingi, ulizia vyakula vinavyoongeza damu kwa kasi ili usivitumie! vingine watakusaidia wenye fani zao!
  6. B

    CRDB acheni kuwatesa watumishi wa Serikali

    usipojuwa ukweli unaweza pata shida pasipo kujuwa hivyohivyo, mie nijuavyo mala nyingi ni Benki ya NMB ambayo huwa wanachelewesha kupeeka ili watu wazichukie benki nyingine wahamie NMB. LAKINI JAMBO LA MSINGI IKIWA WEWE UNAINGIZIWA MSHAHARA WAKO TAREHE 15 YA MWEZI WAPILI SI UIFANYE NDIYO MWISHO...
  7. B

    Nimetumiwa ujumbe kwenye sim yakuwa nizime simu kati ya saa 6:30 na 9:30 kisa mionzi leo

    Ndugu zangu siku ya leo na usiku huu nimetumiwa SMS ya kuwa ``Leo usikusaa 6:30 na saa 9:300 Miale ya Cosmo itaingia duniani kutoka sayari ya mars. Hivyo zima simu yako usiku na iweke mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari. Chanzo cha habari ni NASA BBC NEWS Tafadhali wape taarifa...
  8. B

    Dua ninayoiombea Nchi yetu leo!

    Baba yetu uliye mbinguni asante kwa kunipatia uzima na afya asante kwa kunipatia kibari cha kufanya maombi haya! Nakushukuru kwakuwa wewe wanipenda sana pia unaipenda nchi yetu ya tanzania mungu tunakushukuru kwa neema uliyotujaaria katika taifa letu tunakushukuru kwa upendo wako wa ukweli...
  9. B

    Ungependa kitu gani kiwemo kwenye katiba mpya?

    katiba mpya izuie huduma kama vile matibabu na elimu kufanywa na watu binafsi ili kulinda viwango vya huduma katika nchi yetu visishuke, mfano elimu sasa inashuka kwa kasi kiasi cha mtu kuhitimu mafunzo ya chuo kikuu lakini watu wenyewe kielimu wakiwa bado wapo chini. mwaka uliopita kuna taasisi...
  10. B

    Hivi yule 'Babu wa Loliondo' bado anatibia?

    Hosea 4:6 watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwakuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwakuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nami nitawasahau watoto wako. Yohana 8:31-32 Basi Yesu aliwaambia wale wayahudi waliomwamini Ninyi...
  11. B

    Prof. Lipumba aula!!

    Ndugu zangu tumshukuru Mungu kwa kumpa ndugu yetu hiyo nafasi kwakuwa nasi tutaambuliapo sifa, kuhusu kuifanyia kitu Tanzania siyo lazima ajenge barabara ndiyo tujuwe kuwa kafanya kitu. yeye hakuwa kwenye nafasi ambayo angeweza kuonyesha kile ambacho alikusudia kutufanyia. Ingekuwa busala kama...
  12. B

    Kwa nini wanaolia kwenye msiba ni wanawake peke yake

    Siyo tu kulia Misibani bali hata kushangilia sana kwenye sherehe kama vile harusi, mahafali, sikukuu za kuzaliwa na nyinginezo. hii inatokana na wanawake kuwa na vionjo na hisia zaidi kuliko wanaume!.
  13. B

    Huyu ni Ustaadhi Lowassa!!

    Huyu mzee ni muislamu nini. alivyo appear utafikili muislamu!.
  14. B

    Miembe ya kisasa..

    Miembe hiyo inapatikana kuanzia Dar, Bagamoyo, Kibaha, Morogoro (SUA) na maeneo jirani, Mbeya na sehemu chache. ni miembe ya kawaida sana kwa sasa tatizo letu Habari za hayo hazienei kwa wadau.
  15. B

    Hivi yule 'Babu wa Loliondo' bado anatibia?

    majibu gani sasa unataka! je kukaa kimya siyo majibu?. hapo mtu mwenye akili anajuwa nini kinachoendelea!. kumbuka ya kuwa hata hao watafiti walikunywa!, je kama dawa inasababisha watu wawe vichaa sijui watasemaje!
  16. B

    Hivi yule 'Babu wa Loliondo' bado anatibia?

    ukweli utabaki palepale, kuwa siyo kila uonekanapo Msalaba panafaa kufanyia ibada na kutolea sadaka. Mungu hawezi kujipinga mwenyewe!. Imeandikwa kuwa Mungu huangalia neno lake ili apate kulitimiza!. Pia Mungu anasema Kupitia Zaburi ya kuwa ameikuza ahadi yake kuliko neno lake. Mungu hawezi...
  17. B

    wapendwa nawasalimu, AMANI IWE NANYI!

    Nimekuja kufanya kazi kwakuwa neno la BWANA katika kitabu cha Isaya 35:1 linasema `Nyika na mahali palipo ukiwa patafurahi; jangwa litashangilia na kuchanua maua kama waridi. Isaya 35:3 - 4 linasema `Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyo legea. Waambieni waliona moyo...
  18. B

    wapendwa nawasalimu, AMANI IWE NANYI!

    ubarikiwe kwa kutaka kuwajenga watu kiimani. wazo lako naliunga mkono kwakuwa ni jema sana, na litatusaidia kujuwa maandiko, na kumjuwa Mungu mwenyewe. kwakuwa imeandikwa kumcha Bwana ni chanzo cha marifa!.
Back
Top Bottom