Search results

  1. alumn

    Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

    Una milioni kumi kwenye gari, then unaacha mlango wazi ili uende kula maeneo ya stand ya mbezi? Mpaka hapo upelelezi imekamilika ya kua taarifa ni ya uongo.
  2. alumn

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tumeshakubaliana hii arsenal ya sasa sio ya zamani. Wasiwasi unatoka wapi
  3. alumn

    Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Basi Mkuu tusije leta pengine ubishani kwenye neno la Mungu. Sote ni wa Mungu. Asante kwa neno
  4. alumn

    Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Asante Mtumishi kwa andiko zuri. Lakini naomba nitofautiane na wewe kidogo kwa namna nzuri ya kuelimishana kuhusu neno. Ni kweli kabisa Maombi ndio muhimili na uti wa Mgongo wa Mwamini. Lakini sio sahihi kwamba kila Mwamini lazima anene kwa Lugha ndipo ambapo apate matokeo tarajiwa. Ingawa...
  5. alumn

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Yaani kweli unaona sasa unakufa na una nafasi ya kutubu. Umuite Kiongozi umwachie wosia wa namna ya kuendelea na majukum na uache njia ya kutengeneza njia yako huko uendako? Inashangaza sana.
  6. alumn

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hii game ipo open kwa yeyote. Man city anafungika na liverpool anafungika. Suala ni nani atatumia nafasi zake vyema
  7. alumn

    Msaada juu ya malipo ya Arrers za mahahara

    Si uvumilie tu ndugu yangu usubirie mwezi ujao unaofuatia utalipwa. Ndio umeenda tu kuripoti unaanza na madai ya mshahara hapo hapo kweliii.
  8. alumn

    Nahitaji mtaalamu wa saikolojia

    Yesu Kristo ndiye mtaalam wa wataalam.
  9. alumn

    Bei ya sukari yapanda ghafla kulikoni?

    Sasa mpendwa wangu hapo wachumi tutafanya nini? Mnona watuonea? Au hujui profeesionalism is less prioritized compared to politics for most of the sub Saharan african countries? Umenieleewa??
  10. alumn

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Martinelli, nketiah, Hawa watu ni wa kuingia dakika za 90 na kuendelea. Hawana sifa za kuanza. Kifupi hatuna timu ya ushindani hapa
  11. alumn

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mudryk Hamna mchezaji mle.
  12. alumn

    Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

    Mimi sioni ubaya wowote na kwa kua haiwi hivyo Mara zote. Ila isizoeleke.
  13. alumn

    Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

    Hongera kwa uzinifu na hongera kwa kilichojiri. Hongera kwa kutambua ulipoanguka, Rekebisha njia zako.
  14. alumn

    Naomba kujuza kuhusu IAA kampasi ya DSM

    Kujuzwa kuhusu nini? Jipambanunue ueleweke.
  15. alumn

    Msaada wa kuandikiwa research proposal

    Karibu kama bado unauhitaji
  16. alumn

    Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Yupo huyu Baba wakuitwa George Mukabwa yupo Mwanza tenga Mda wako umsikilize. Hutojutia
Back
Top Bottom