Search results

  1. Bittah

    Is PHP a yesterday's story?, Should beginners learn it?

    Kaka tupo wengi sana tunao hitaji nisaidie contact zako kaka
  2. Bittah

    Darasa la Programming for beginners (Jifunze Kutengeneza Website From the Scratch)

    Nimefurahi sema kitu kimoja ambacho kaka zetu mnaharibu ni kuanzisha jambo na kuishia njiani kila siku humu watu anzia thread za kutusaidia then wanaishia njiani naumia sana aiseee pia ningekuomba tuwe na group la whatsap itapendeza pia kaka
  3. Bittah

    HTML, CSS, Bootstrap, PHP, Javascript and Mysql for beginners

    Sawa kaka tu akufatilia vyema ingependeza utundie group la whatsap
  4. Bittah

    Msaada

    Sitaki kwenye akaunti mkuu nataka iende kwenye page yangu mkuu
  5. Bittah

    Msaada

    Nikikubali Apo inajipost kwenye Facebook account mkuu
  6. Bittah

    Msaada

    Habari wakuu Naomba mnielekeze jinsi ya kupost kitu Instagram at the same time Facebook page
  7. Bittah

    Msaada Ndugu zangu

    Sijaelewa kaka
  8. Bittah

    Msaada Ndugu zangu

    Ndio kaka ipo
  9. Bittah

    Msaada Ndugu zangu

    PC yangu ina tatizo la baadhi ya software kama Dev c, Microsoft Point, Excel,Word nikifungua nikaanza kutumia kimfano kwenye Microsoft PowerPoint nikihitaji ku Insert picture inafail inatoka kabisa hata pale chini ai display ni kwa baadhi ya software ila software zingine kama adobe photoshop...
  10. Bittah

    Maombi ya field

    kaka si natakiwa kupeleka kwenye makao makuu pale mwanza si ndio?
  11. Bittah

    Maombi ya field

    Habari ndugu zangu kwanza nipende kuwashukuru tangu natuma maombi ya chuo mlikuwa na mimi mdogo wenu kwa sasa nasoma ifm nachukua it mwaka wa kwanza napenda kupata ushauri kutoka kwenu kuhusu maombi ya field kwetu mwanza napenda kupata ushauri wenu kwa sehemu kama mwanza niombe sehem zipi...
  12. Bittah

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mkuu nmeku pm
  13. Bittah

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kabisa yani ila iko poa mwishoni walizngua
  14. Bittah

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mkuu nmeku pm nahitaji mzgo unaonekana unazo nyingi
  15. Bittah

    Natafuta mdada wa kunitoa upweke

    Namba yangu ni 0658427100 whatsap au 0622270872
  16. Bittah

    Natafuta mdada wa kunitoa upweke

    Ni muda mrefu sasa nmekuwa mpweke sabu ya kuwa single so nahitaji mdada wa kunitoa upweke akiwa mwanachuo ni fresh tu
  17. Bittah

    Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

    Mkuu nimekuelewa sana swali langu mbona apo kwenye tangazo ni hisa za wasafi TV means zipo na za wasafi radio ????? Na kama zipo apo ndio naamini diamond alivyo mjanja anaweza akawa na zaidi ya 50%
  18. Bittah

    Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

    Afu sio wasafi kwa ujumla ile ni wasafi TV tu
Back
Top Bottom