Msaada Ndugu zangu

Bittah

Senior Member
Jul 14, 2018
135
37
PC yangu ina tatizo la baadhi ya software kama Dev c, Microsoft Point, Excel,Word nikifungua nikaanza kutumia kimfano kwenye Microsoft PowerPoint nikihitaji ku Insert picture inafail inatoka kabisa hata pale chini ai display ni kwa baadhi ya software ila software zingine kama adobe photoshop zinafanya kazi vizuri tu
 
Best way ni Ku re install/ Repair hiyo MS Office

Back
Top Bottom