Search results

  1. A

    Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

    Ukwel ni kwamba siku za mwisho za mafisadi zimefika.
  2. A

    To be honest, I love Gadaffi...

    Gadaff ni wa ukweli sio kama WANAMAGAMBA WAKWETU HAWA WAMEBAKIA KUFUJA MALI ZA TAIFA KWA kuunda tume kibao za ovyo na kurudisha bungen watu wezi na hali nchi ipo gizan, njaa na matatizo kibao.
  3. A

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    What will occur/happen in LIBYA if the LIBYAN'S Rebels(waasi) win the war?
  4. A

    Tbc Singida

    Singida inabidi mujivue sumu yenu haiwezekan kodi mnalipa halafu matangazo ya redio mnakatiwa ovyo ovyo na TBC ikifika 2015 mnanunuliwa na kanga za DEWJI wenu na kuambiwa mmejengewa kituo cha TBC halafu matangazo yake hafifu.
  5. A

    Tbc Singida

    Redio TBC FM na TBC Taifa zinakata matangazo kila mara umeme ukikata kwa SINGIDA hivi niwaulize wana SINGIDA hao TBC WENU hawana majenereta mubadala? chakushangaza ni radio ya serikari, hivi kodi zenu zinafanya kazi gani?
  6. A

    Tanzania yatoa msaada wa tani 300 Somalia

    Tanzania kutoa tani 300 za chakula kusaidia SOMALIA wakati wananchi wake wa MANYONI MASHARIKI wanakula PUMBA, JE hii nikujiosha mbele ya mataifa mengine ili kuonekana Tuna huruma? Chakushangaza mheshimiwa wa JIMBO HILI hajawahi kulizungumzia, naomben mtoe mawazo yenu tunaenda wapi na serikali hii?.
  7. A

    Udom, education

    Jaman sikien na mtoe mawazo yenu, UDOM College of EDUCATION mwaka huu wamepunguza idadi ya udaili wa wanafunz wa degree kwa mwaka wa kwanza badala yake wameanzisha DIPLOMA Lengo nikomesha migomo, je hii njia sahihi ya kukomesha migomo UDOM Kwa kubana nafas kwa wanafunzi wanaojiunga na degree?.
  8. A

    Lilisemwa, Waziri Akapinga--Lakini Sasa Latimia

    Jaman, Ee! Tusibakie kulalamika tu na kunyamaza kwa ajili ya ujinga na upuuzi wa ccm, tuwatoe madarakani, tumechoka upuuz wao.
  9. A

    Lilisemwa, Waziri Akapinga--Lakini Sasa Latimia

    Jaman, Ee! Tusibakie kulalamika tu na kunyamaza kwa ajili ya ujinga na upuuzi wa ccm, tuwatoe madarakani, tumechoka upuuz wao.
  10. A

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    Hivi spika/mwenyekiti wa bunge kuamuru MHESHIMIWA WENJE atolewe nje bungen jana na hali alikuwa akiihoji serikal kuhusiana na samaki wenye mionzi ya nyukilia kuingizwa nchin na wabunge wengine ambao vichwa vyao havifanyi kaz wakashangilia kitendo hicho,JE spika/m/kiti na hao wabunge...
  11. A

    Kufukuza wanafunzi udom.

    Serikal kufukuza wanafunzi Udom ni suluhisho la kumaliza migomo? Chakusikitisha wazir waelimu alitangaza wanapewa field, kesho yake wakafukuzwa, Huu ni usanii ndani ya elimu au ni nini?.
  12. A

    Hii ndio safu ya wahadhiri katika chuo cha "informatics and virtual edcucation" UDOM

    Udom ufisadi mtupu hii inatokana kuwekana kwenye kazi solution ni kupukutisha menejiment ya udom ndo mambo yataenda sawa.
  13. A

    Hii ndio safu ya wahadhiri katika chuo cha "informatics and virtual edcucation" UDOM

    Udom bila wanafunzi wake kukaa barabaran (kugoma), mambo hayaendi.
  14. A

    Hii ndio safu ya wahadhiri katika chuo cha "informatics and virtual edcucation" UDOM

    Udom ufisadi mtupu hii inatokana kuwekana kwenye kazi solution ni kupukutisha menejiment ya udom ndo mambo yataenda sawa.
  15. A

    Wizara ya Elimu

    Hiv kubadibadili mitaala ya elimu bila kutoa vitabu vya kufundishia ni haki?.
Back
Top Bottom