Wizara ya Elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya Elimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ACTIVCT, Jul 25, 2011.

 1. A

  ACTIVCT Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiv kubadibadili mitaala ya elimu bila kutoa vitabu vya kufundishia ni haki?.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sio haki.
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,055
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Labda siyo haki!
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  Vitabu vilishatoka. Jiweke up to date
   
 5. Tympa

  Tympa Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  NI HAKI. because...
  1. hata kama mitaala ingebadilishwa mala infinity, mambo tunayo ambiwa tusome yapo na yalikuwepo.
  2. Wanafunzi wakisha tungiwa kitabu, wanakuwa fixed kwa kusoma kitabu hichohiochu ili wafaulu(hii inafanya wasome kwa kumeza na wala sii kwa kuelewa). Kwa maana hiyo itakuwa triple loss kwa wizara kutunga vitabu badala ya kuacha wanafunzi wajitafutie material wenyewe. HII LEO MDOGO WANGU ASINGE KUWA ANASOMA (PRINCIPLES OF PHYSICS,PHYSICS YA NELKON,CONCEPTUAL CHEMISTRY, BS, UNDERSTANDIND BIOLOGY,) Ambavyo kiujumla vina bulk amount of informations helpful to our daily life.
  FINALLY .. "KUISHINIKIZA WIZARA YA ELIMU KUTUNGA VITABU KILA INAPOBADILISHA SYLLABUS, NI KUENDELEZA MFUMO WA KUSOMA KWA KUKARIRI BADALA YA KUELEWA".
   
Loading...