Tbc Singida

ACTIVCT

Member
Jul 25, 2011
18
0
Redio TBC FM na TBC Taifa zinakata matangazo kila mara umeme ukikata kwa SINGIDA hivi niwaulize wana SINGIDA hao TBC WENU hawana majenereta mubadala? chakushangaza ni radio ya serikari, hivi kodi zenu zinafanya kazi gani?
 
<br />
<br />
KUSAFIRIA NCHI ZA WENZETU.
 
Singida inabidi mujivue sumu yenu haiwezekan kodi mnalipa halafu matangazo ya redio mnakatiwa ovyo ovyo na TBC ikifika 2015 mnanunuliwa na kanga za DEWJI wenu na kuambiwa mmejengewa kituo cha TBC halafu matangazo yake hafifu.
 
Ulikatika siku ya fainali za kagame Cup huko uwanja wa taifa dar es salaam. Unazungumzia Singida.

Pole sana
 
hivi tbc tv ina kipi cha maana hadi mlalamike? nidhani anauliza itv hawaipati kumbe tv magamba
 
Back
Top Bottom