Vigezo gani vinatumika kupanga mishahara ya watumishi wa umma?
Kuna tofauti kubwa sana ya mishahara kati ya watumishi wa mashirika na taasisi za serikali na wale wa halmashauri au serikali kuu. Kuna mashirika mengine hata dereva tu anamzidi mshahara engineer, mwanasheria au daktari wa...
IFM ni chuo cha serikali ambapo mishahara yote ya watumishi inalipwa na serikali ila inakusanya ada kwa wanafunzi.
Idadi ya wanafunzi kuanzia certificate hadi ngazi ya masters hawapungui 5000.
Kila mwanafunzi akitoa ada ya milioni moja tu kwa mwaka nje ya hostel ni hela nyingi sana. toa matumizi...
Kuna wilaya moja watu wana barua tangia2018 lakini mshahara haujabadilika hadi leo. Wakaamua kwenda wenyewe dodoma. Kila aliyeenda dodoma mshahara ulibadilika mwezi uliofuata na ambaye hakwenda hadi leo anasota na barua yake.
Nenda Dodoma mkuu
Mwezi na wiki 3 sasa tangia niombe umeme TANESCO na ili umeme ufike kwangu nahitaji nguzo moja. Muda unaenda na hakuna kinachoendelea.
Wako wanaosema nitoe kitu kidogo ili niungiwe umeme ndani ya wiki 2. Je hicho kitu kidogo nimpe nani? Je nikitoa kitu kidogo kuna uhakika nitaungiwa umeme ndani...
Wiki mbili zilizopita waziri mkuu alikutana na bodi mpya ya mishahara na moja kati ya mambo ambayo bodi inayafanyia kazi ni mashirika na taasisi za umma kujipangia mishahara hali iliyopelekea kuwa na tofauti kubwa ya mishahara kati ya mashirika na watumishi wengine wa umma hasa TAMISEMI. Mfano...
Iyun
Iyunga ni shule ya bweni pia ilikuwa ya vipaji.
Sasa njo kwenye hizi za kata za day form one 500 hapo hata mwalimu uwe mzuri vipi zero 300 haziepukiki
Mimi naomba wachukue maprofesa wafundishe shule moja ya kata kama sample.
Hiyo shule ikiingia kumi bora mimi nivuliwe nguo niwekwe posta pale kama maonyesho watu waniangalie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.