Nijuavyo mimi ni kwamba thikness ya Tiles za 60 kwa 60 ni nene kuliko 40 na 50 kwa hiyo inauwezo wa kuhimili mikiki ya kutokuvunjika(ikijengwa) kuliko nyingine.
Kwanza huyo dogo(k/koo tunawaita Winga) ndio mlugaluga..sharti no.1...Chimbo hapelekwi mteja hata iweje.yani kuliko alione chimbo ni bora uteme kazi.sasa ki ufupi dogo aliyekupeleka chimbo tungemjua kazi hana.
Kwamba Homework ni kwa ajili ya kuwalea watoto vyema!!!!?yani tabia njema zinatengenezwa na bidii ya mzazi katika kumsimamia mtoto wake Homework?kweli!!!!!
Na hapo ndipo kiburi cha huyo unayetaka kumuacha kilipo..anajua unampenda sana mwanae.ki ufupi baba hawezi kumpenda mtoto zaidi ya mamaye,bali baba anamjali mtoto kuliko mamaye.so wewe angalia ni wapi furaha yako ilipo.
Na hapo ndipo kiburi cha huyo unayetaka kumuacha kilipo..anajua unampenda sana mwanae.ki ufupi baba hawezi kumpenda mtoto zaidi ya mamaye,bali baba anamjali mtoto kuliko mamaye.so wewe angalia ni wapi furaha yako ilipo.
Anachomaanisha nadhani ni ile Wao wanaochezesha hii michezo wanaona mapema kabisa kwamba timu fulani imepewa ushindi kwenye mikeka mingi so wanakuwa na uwezo wa kupanga matokeo ili wasipate hasara.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa.
Yani unakuta mtu unalipa kodi ya mapato TRA halafu nao halmashauri wanakuja kukutoza kodi kama Ya LESENI na SERVICE LEVY..What the Fu......!bado kuna Fire Xtinguisher nk
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mi naona kuna shida hata kwa huyo Hakimi mwenyewe,maana kama aliandikisha mali zake zote kwa mamaake basi atakuwa anashida ya kimahusiano na yeye yani sidhani kama alikuwa anamcare huyo mpenzi wake
Yani nilipe kiingilio changu halafu ukanipigishe kelele Uwanjani!kuweni sirias basi..mbona kuna timu zinashinda ugenini?Mayowe uwanjani hayashindishi timu kama mnabisha hao mnaosema wanahanikiza kila siku wanachezea wakishiriki club bingwa Dunia.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.