Search results

  1. Niambieni

    Malipo ya Madeni kwa Wafanyakazi wa Umma: May, 2018

    Mh. Rais, nakuomba nifikirie ombi langu kwako la kutulipa wafanyakazi wa Umma madeni tunayo yasubiri ya mishahara ya nyuma. Naomba malipo ya madeni kwa wote yafanyike Mwisho wa Mwezi huu wa tano. Natanguliza shukurani za dhati. Wako Mtumishi Mtiifu
  2. Niambieni

    Sio mabasi yaendayo kasi bali litafutwe jina lingine

    Kwa jina la mabasi yaendayo kasi haliendani ni ukweli unaoonekana. Sababu: Barabara ni nyembamba kuruhusu vyombo vya moto kukumbia zaidi ya 50 km/hr Vituo vimekaribiana sana- toka kituo kimoja, kabla ya kubadili gear ya pili umeshafika cha pili Basi likiharibika njiani hakuna pa kuliruhusu...
  3. Niambieni

    Angalia picha hizi na unganisha na kuona ndani ya pazia: Je ya Gwajima ni mbio za Urais?

    Gwaji kabla ya kujisalimisha kwenye vyombo vyetu vya dola alitoa mkanda wa sauti, akimtaja Askofu Pengo na Waziri Mkuu Mh. Pinda kuwa ni marafiki na ni wafipa waliosoma wote seminary. Mkanda huo haukuwa na heshima kwa kiongozi wetu wa juu. Je ni ugomvi wa Mahakama ya Kadhi? au ndio...
  4. Niambieni

    ITV kurudia taarifa ya bunge kuhusu escrow mara baada ya taarifa ya habari

    Kwa wale waliokosa taarifa. ITV itarudia leo mara baada ya taarifa ya habari ya saa mbili. Mtamwangalia Waziri wa Nishati na Madini akicheka, huku akisikiliza Ripoti. Then, tafsiri ni kwanini au ana maanisha nini?
  5. Niambieni

    Sababu ya report ya Tegeta ESCROW kuwasilisha bila kipingamizi

    Nadhani ni lazima iwasilishwe hili tupate misaada iliyofungwa. Na sio kumtafuta mchawi au kutatua tatizo, bali lengo nadhani ni kupata kitumbua kilicho sitishwa. Ulaya watapata taarifa ya kinachojiri na watatoa kitumbua, ili tupate ngawira za madawa au afya, elimu, ..... Ebu fikiria, jana na...
  6. Niambieni

    Wassira ndani ya kakika 45: Katiba Kura ya maoni mwezi wa nne

    Asema kuwa wapinge yanayopingika na waunge mkono yaliyo mazuri... haiwezekani kuona kwenye katiba yote hayakubaliki, hayafai, tukatae.... Note kuwa: Leo ni Wasira na kesho saa tisa jioni ni kina Warioba.
  7. Niambieni

    Tulidhani katiba ya zamani sio nzuri tukataka mpya sasa mpya sio nzuri tunashangilia kurudi ya zaman

    Tumeshuhudia vituko vingi sana kwanza kabla ya kuwa na mawazo ya kuanzisha mchakato wa katiba, wakati wa mijadala ya Bunge la Katiba na tutaona mengi tu baada ya kuahirishwa na kuvunjwa kwa Bunge la Katiba. Lengo kuu kwa pande zote zilikuwa ni uchaguzi ujao. Huko nyuma tulidhani kwa Katiba...
  8. Niambieni

    Mtandao wa simu wa gharama

    Ni siku chache nimejaribu mtandao wa airtel, naona wamekata salio kubwa bila matumizi na pia huduma kwa wateja makato ni juu sana. Sijui ni mtandao hupi una nafuu?
  9. Niambieni

    Maneno matupu hayavunji mfupa

    Kuna msemo maarufu unaosema "maneno matupu hayavunji mfupa". Hapa simaanishi tuache njia ya MUNGU wetu mwenye UPENDO. "Niachieni mie niliye na kisu nile nyama" hata mkinisema nitaendelea kula na hamtanifanya chochote, si "mungu ndie aliyenipa vyote?" wala sio nyie mnaonisemasema ovyo. MUHIMU...
  10. Niambieni

    CHAMA CHA MAPINDUZI maana yake ni nini?. Kinapindua au kulipindua nini?

    Naomba kuelimishwa mie wajameni maana ya Chama Cha Mapinduzi wajameni? Msinitupie madongo mie sio mwanasiasa.
  11. Niambieni

    Wapinzani wakubali kuwa baadae Pemba itadai jamhuri yao

    Imewekwa Thursday, June 6 2013 at 22:05 Dodoma na Dar es Salaam. Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wamedai kuwa muungano unaweza kuvunjika kutokana na pendekezo la kuundwa kwa Serikali tatu lililotolewa kwenye rasimu ya Katiba Mpya na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Akizungumzia suala...
  12. Niambieni

    Zanzibar ina urefu km 108 na upana km 32 (area of 2,461 sq km)

    Zanzibar is located in the Indian Ocean, 6° south of the equator and 36 km from the Tanzanian mainland coast, It is 108 km long and 32 km wide with an area of 2,461 km2 (950 sq m) Zanzibar is mainly low lying, its highest point is 120 metres. ===================================
  13. Niambieni

    Kwanini ccm imebadili tarehe ya kuzaliwa na kuwa 02 badala ya 05/02.

    Naomba kufahamishwa, kwanini wana CCM wanasherehekea kuzaliwa kwa Chama tarehe 02 Feb. 14 badala ya tarehe 05 Feb.? au tumeanza kuangalia mwandamo wa mwezi? soma historia ya ccm hapa Historia ya CCM
  14. Niambieni

    Sababu za kiusalama, watalii watembelea Tanzania na Zanzibar badala ya kwenda Kenya

    Leo asubui BBC ilitoa habari ya jinsi uvamizi wa sehemu za mikusanyiko wa watu kama pwani ya Kenya. Na kusema ya kuwa inaonekana watalii wengi sasa wanaelekea Tanzania na Zanzibar ambako ndiko kwenye amani. Kilichonigusa hapa ni maneno yanayo tambulika kimataifa: Tanzania na Zanzibar. Hivi...
  15. Niambieni

    TCRA tusaidieni king'amuzi cha continental ni feki

    Ni muda mrefu king'amuzi cha continental cha kichina, hakifanyi kazi vizuri. Je mko wapi TCRA na TBS? tunaomba mtusaidie na ikiwezekana vikusanywe na kuharibiwa kama vipodozi venye virutubisho vya sumu. Yaani ikifika saa moja na nusu jioni ndio kabisaa hakionyeshi kabisa. Mwanzoni walikuwa...
  16. Niambieni

    Dr. Rehema Nchimbi: Wasiomhofia Mungu, wanamponza waziri mkuu

    Hivi ni kweli aliyoyasema Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mh. Dr. Rehema Nchimbi ya "viongozi wasiomhofia MUNGU" yalitoka moyoni mwake?. Mbona wananchi wa Dodoma tunamfuata atusaidie kero zetu za msingi, na badala yake anatu forward kwa wa chini yake ambako tulishashindwa kusikilizwa na huko tunapata...
  17. Niambieni

    Matatizo ya king'amuzi cha continental

    King'amuzi cha Continental kina matatizo ya muda mrefu sana ya kuzima zima pia kina chenga na mitetemo sana. Tumejaribu kuwasiliana na wahusika bila mafanikio. Lakini bado kinatangazwa kana kwamba kinaubora. Sijui ni kweli kuwa vya bure vinagharama?. Wale watu wa viwango mpo wapi kwa product...
  18. Niambieni

    Vya bure vinagharama - king'amuzi cha continental

    Ni muda mrefu sasa wanatangaza baada ya siku 15, siku hizo zitafika lini hata leo wametangaza baada ya siku 15. Kwanini ving'amuzi vyote vinafanya kazi vizuri, na cha continental tu ndio kina utata? Kila siku wanaomba radhi na kusema baada ya siku 15.
  19. Niambieni

    Kingamuzi cha Continental kwa Dodoma kina utata

    Ni muda mrefu hapa dodoma tunapata shida ya kutumia huduma ya king'amuzi cha kichina cha continental. Kinaonyesha picha hafifu za kutetemeka, na kibaya zaidi saa za jioni hakionyeshi kabisa. Kama nilivyo eleza hapo juu ni muda mrefu kina goma kuonekana kabisa, na hata leo tarehe 13 september...
  20. Niambieni

    Mungu isaidie EAGT kupata kiongozi toka kwako

    Msiba wa kiongozi wa EAGT leo ni pigo kwa waumini na walio karibu na Mzee wetu Askofu Moses Kulola. Walokole wenzangu, tuingie kwenye maombi kupata Kiongozi mpya toka kwa Bwana. Tuombe kusitokee vurugu ya wapenda madaraka ili wajinufaishe wenyewe hasa kimwili kama majumba na magari ya kifahari...
Back
Top Bottom