Wassira ndani ya kakika 45: Katiba Kura ya maoni mwezi wa nne

Niambieni

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
625
195
Asema kuwa wapinge yanayopingika na waunge mkono yaliyo mazuri... haiwezekani kuona kwenye katiba yote hayakubaliki, hayafai, tukatae....
Note kuwa: Leo ni Wasira na kesho saa tisa jioni ni kina Warioba.
 

Gambamala

JF-Expert Member
May 13, 2014
1,045
1,250
Siwezi kupoteza Muda wangu kusikiliza maoni ya mtu kutoka chama kinachofuga majambazi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom