Wewe hukuwaona wafanyakazi wenzio siku ya kilele cha mei mosi Iringa wakiwa na majonzi kama vile wamefiwa??
Mkulu kasema pesa yote inatengeneza miradi mikubwa na hakuna pesa ya "kuchezea" ya kuwalipa nyongeza ya mishahara wafanyakazi!
Ni kweli inauma sana. Kukaa kimya hakusaidii, ni vema tumuombe labda atatusikia.Hivi siku ile 1/5/2018 kwako hukuwa na umeme? hukuona wala kusikia yaliyoongelewa pale mjini Iringa. Ningejua hata nisingefungua huu uzi. heading ndio imenileta mbio
hahaha, angekuwa wakusikia angesikia siku ile.Ni kweli inauma sana. Kukaa kimya hakusaidii, ni vema tumuombe labda atatusikia.
Mh. Rais, nakuomba nifikirie ombi langu kwako la kutulipa wafanyakazi wa Umma madeni tunayo yasubiri ya mishahara ya nyuma.
Naomba malipo ya madeni kwa wote yafanyike Mwisho wa Mwezi huu wa tano.
Natanguliza shukurani za dhati.
Wako Mtumishi Mtiifu
Awamu hii ni majanga!!Mtasubiri sana
Mradi wao wanaishi kama wako peponi!!Ni rahisi zaidi kujenga SGR kila mkoa kuliko kuwalipa watumishi stahiki zao. Waendelee kulimia meno tu.
Dah.!Hivi siku ile 1/5/2018 kwako hukuwa na umeme? hukuona wala kusikia yaliyoongelewa pale mjini Iringa. Ningejua hata nisingefungua huu uzi. heading ndio imenileta mbio
Mungu unaye wewe..,Mungu hapendi mambo ya namna hii.