Search results

  1. B

    Mharibu nchi, ni mwananchi mwenyewe

    Hakuna shaka juu ya huo msemo, mwananchi mwenyewe ndio mwenye uwezo wa kuijenga na kuiharibu nchi. Hata kukitokea mgeni kutaka kuharibu nchi ni lazima apitie kwa mwananchi mwenyewe Nimeona bandiko la Mjomba Paskali kuhusu alichokiita Security Alert. Alichoandika Paskali kilitakiwa kuonwa na...
  2. B

    Pale Waziri anayeshughulikia Muungano anaposema hajui kuhusu Muungano

    Nimesikitishwa sana, mpaka sasa nataka niamini alinukuliwa vibaya. Inatia mashaka pale Waziri mwenye dhamana ya masula ya Muungano anaposema hajui kuhusu Muungano na atajifunzia humo humo Muungano ni moja ya suala nyeti sana, kwa nini tunafanya mzaha. Vetting siku hizi hazifanyiki? Au ilimradi...
  3. B

    Kinachoendelea ni hofu ya kukosa Madaraka 2020, wala sio kukwamishana

    Habari Wakuu, Vita inayoendelea ndani ya Chama kilichoshika hatamu ni hofu ya kutoendelea kwa kundi fulani kuwa madarakani. Hiki kisingizio kuwa fulani wanakwamisha ni namna tu ya kutafuta huruma. Tujiulize yafuatayo, je hao wanaodaiwa kutaka kukwamisha ndio 1. Wamesababisha mapato ya ndani...
  4. B

    Kauli ya Spika Ndugai kuhusu Makonda imetupa siri tatu muhimu

    Habari Wakuu, kutokana na kauli ile ya Mhe Spika Bungeni akimzungumzia kijana yule, kuna siri 3 ambazo zimekuwa wazi 1. Kijana ana nguvu, kama mwenyewe alivyotamka ndivyo inavyoonekana kuwa hivyo. Cheo cha Uspika ni cheo kikubwa sana kikatiba na ana nguvu kubwa kwa sababu ya kuongoza mhimili wa...
  5. B

    Kwanini mpaka sasa Marekani haijateua balozi wake mpya hapa Tanzania?

    Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ni muda sasa tangu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bwana Mark Childress amalize muda wake wa kuhudumu hapa chini ( mwezi wa 10 mwaka 2016) na hakujateuliwa balozi mpya ambapo Bi Inmi Patterson amekuwa akikaimu mpaka sasa. Nimejaribu kufatilia...
  6. B

    Muswada wa Vyama vya Siasa Kutosainiwa na Rais?

    Habari Wakuu Nawaza kutosainiwa kwa Muswa huo unaopigiwa kelele na vyama vya upinzani, watetezi wa hali za kibinadamu na asasi za kiraia kwa sababu utatufanya tuzidi kutengwa na Jumuiya za Kimataifa huku hali yetu ya kiuchumi inazidi kuwa ngumu kwa kupungua kwa misaa ya mabeberu. Na...
  7. B

    Mashairi ya Wasakatonge

    Habari wakuu, msaada kwa mwenye soft copy ya kitabu cha mashairi cha WASAKATONGE kilichoandikwa na Mohamed Seif Khatib Ahsanteni
  8. B

    Yuko wapi Mbunge Hussein Bashe? Muda sasa hatujamsikia, si kawaida yake

    Ni muda sasa Mbunge huyu kijana ambaye anajulikana kwa kuwa 'active' katika mijadala mbalimbali ya kitaifa kupitia mitandao ya kijamii hajasikika. Yamepita masuala mbalimbali "yaliyoshika" vichwa vya habari na kuzua mijadala naamini Bashe yule asingekaa kimya bila kuchangia lolote. Na kama...
  9. B

    Lini Mh Sumaye atarudi CCM

    Habari Wakuu. Kutoka na yanayoendelea sasa ya baadhi ya baadhi ya wanachama wakiwemo wabunge kuhama kutoma Upinzani na kujiunga na CCM ni dhahiri kuwa kuna mbinu CCM wanazifanya kuhakikisha wanajiunga na Chama Tawala japo wote wanakuwa wanatoa kauli inayofanana "Tunaunga mkono juhudi za...
  10. B

    Mkuu wa MI kuwa RC

    Habari wakuu. Kwa mujibu wa Rais wakati anawaapisha wakuu wa mikoa wapya leo Ikulu alitamka kuwa aliyemteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera alikuwa Mkuu wa Intelijensia ya jeshi ( MI). Je ni sawa kutamka hadharani kuwa alikuwa Mkuu wa MI? Hakuwezi kumfanya akawa target zaidi huko anakoenda...
Back
Top Bottom