Nimesikitishwa sana, mpaka sasa nataka niamini alinukuliwa vibaya.
Inatia mashaka pale Waziri mwenye dhamana ya masula ya Muungano anaposema hajui kuhusu Muungano na atajifunzia humo humo
Muungano ni moja ya suala nyeti sana, kwa nini tunafanya mzaha. Vetting siku hizi hazifanyiki? Au ilimradi twende tu.
Nakumbuka mechi moja kati ya Man Utd na Liverpool, msimu wa 2017-2018. Man Utd chini ya Mourinho ilikuwa imeshafungwa goli moja. Alichofanya Mourinho dakika zikiendelea kuyoyoma alifanya sub akaingiza washambuliaji wanne. Hakukuwa na mfumo tena, mipira mirefu 'majalo' inajazwa tu mbele langoni kwa adui wagombaniane kama chandimu ilimradi goli liingie waambulie sare.