Kama ni moshi wa muda mfupi hilo sio tatzo sana ukizingatia chombo kikiwa cha baridi mafuta hayaungui vizuri ila kama ni endelevu hapo badilo spark plug itakua inaaga mashindano
Ni kweli kuna valvu zimeblust ila hakuna madhara yoyote kwa binadamu kila kitu kipo shwari wamefungua vent tu kutoa gas ya njiani na hilo ni kutokana na kazi inayofanyika ya kuboresha mifumo ya gas kuna mkandarasi anafanya kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.