Search results

  1. Kamgomoli

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    We ndo popoma kabisa! Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  2. Kamgomoli

    Jose Mourinho atoa maoni yake kuhusu matumizi ya VAR AFCON

    Morinho is a whiteman outside but his blood is African. Kaongea ukweli mtupu,Afcon hakuna penalty rahisi,ndio maana mashindano yamevutia sana. Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  3. Kamgomoli

    Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Kwa kifupi samadi ni muhimu kwenye shamba lolote uwe unapandia pamoja na mbolea za dukani ama laa! Japo km samadi ni nyingi naya kutosha hakuna haja ya kuongeza gharama za uzalishaji kwa kununua tena mbolea za viwandani. Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  4. Kamgomoli

    Kama wenye PhD ya Aquaculture hawana hata bwawa la samaki, mimi nitaweza vipi?

    Kabla ya kulaumu ni vema ukajua majukumu mtu mwenye Phd yepi.Mtu mwenye Phd si mtu wa kuzalisha,huyu ni mtafiti na kazi yake kubwa ni kusafiri na kutembelea sehemu mbalimbali kuangalia nini, vipi na kwanini watu wanafanya halafu analinganisha na kutoa matokeo na kushauri nini kifanyike. Kazi ya...
  5. Kamgomoli

    Mtu kaokota simu yangu hataki kunipa

    Asanteni kwa ushauri wenu kuna kitu nimepata. Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  6. Kamgomoli

    Mtu kaokota simu yangu hataki kunipa

    Wataalamu wa sheria hivi sheria inasemaje kama mtu akiokota kitu ambacho si chake? Je ni sawa akiking'ang'ania hata ukijua kuwa ndie alieokota? Kuna mtu ameokota simu yangu baada ya kumpigia akapokea na akanielekeza sehemu nimfate. Nilipomfuata nikamkuta na simu ila akataka nimpe hela ndio...
  7. Kamgomoli

    Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Mwaka huu hakuna mbolea isio na ruzuku Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  8. Kamgomoli

    Bei za nyanya na vitunguu Kwa Sasa zikoje sokoni kwa gunia au create?

    Iringa Nyanya tenga 40,000/=,Vitunguu 300,000+...... hadi leo tarehe 02/02/2024 Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  9. Kamgomoli

    Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Kwa ruzuku ni 73,200/= Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  10. Kamgomoli

    Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Changamoto gani uliyoiiona kwa dk 777? Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  11. Kamgomoli

    Mwaka wa Uchaguzi na ufaulu wa wanafunzi

    Matokeo ya kidato cha nne yaliyotolewa hivi karibuni yanaonyesha ufaulu kupanda sana. Hadi somo la hesabu nalo grafu yake imepanda sana. Je, ndio tuseme mwaka huu watoto wamesoma sana na kuelewa vizuri? Sina hakika na hilo, lakini nakukumbusha tu Mtanzania mwenzangu huu ni mwaka wa uchaguzi...
  12. Kamgomoli

    Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

    Acha magugu na ngano vikue pamoja. Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  13. Kamgomoli

    Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

    Kweli tumuombee ulaya beki au kipa kununuliwa ni ngumu sana. Japo hata hizi fununu zitosha kuonyesha kuwa ni mchezaji mzuri. Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  14. Kamgomoli

    AFCON ni mashindano ya nguvu, kujituma, utimamu wa mwili na akili kiasi

    Nimefatilia vizuri mashindano ya AFCON yanayoendelea kule Ivory cost, nikagundua kama huna wachezaji ambao wako fiti kwa maana ya nguvu, utimamu wa mwili,wenye maumbo makubwa na waonajituma ni ngumu kushinda mechi. Lazima uwe na wachezaji ambao wako fiti kweli kweli na wenye "spirit" ya...
  15. Kamgomoli

    Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Hayo kwa ndani ni maharage japo kuna majani kiasi nang'olea kwa mkono na kajembe kadogo pia. Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  16. Kamgomoli

    Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Changamoto nilizokumbana nazo hadi sasa. 1.Wadudu( Viwavi vamizi). Dawa nilizotumia Duduba,Wilcrom,Master. Zote zimefanya vizuru. Gharama kichupa cha mils100 ni 5000 na 10,000/= kwa Master. Nb. Dawa za kuthibiti hawa wadudu ni nyingi inategemea hapo ulipo zipi zilizopo. 2.Mchwa kutafuna...
  17. Kamgomoli

    Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Somewhere Iringa Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  18. Kamgomoli

    Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Wakuu natoa mrejesho km kawaida. Hapa ndipo yalipofikia mahindi,nilipandia samadi tu bila mbolea yoyote. Wiki ijayo naweka mbolea ya CAN shughuli inakua imeisha. Picha ya kwanza ni jinsi mahindi yalivyokuwa wiki ya pili toka kuota. Na hizo picha zingine ndo yalivyo sasa.Mungu ni mwema Sent from...
  19. Kamgomoli

    Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    Kulingana na injili aliyoifundisha Yesu Kristo kupigana vita ya kimwili huo sio Ukristo. Mkristo wa kweli hata km anaonewa kiasi gani solution ni maombi. Ukiona mtu anakimbilia mtutu wa bunduki aafu anajiita mkristo basi anajidanganya mwenyewe,ila mbinguni wala Mungu hamtambui. Sent from my...
  20. Kamgomoli

    Aina na sifa za mbegu mbalimbali za mahindi

    DK 777.Hii mbegu ina punje ndogo hivyo unaweza panda eneo kubwa. Kwahiyo km bajeti inabana inakupunguzia gharama. Kwenye ekari moja badala ya kutumia vifuko 5 unaweza tumia vifuko 4. Inazaa mahindi mawili mawili.Huchukua muda wa wastani kukomaa miezi 3.5 hadi 4 kutegemea na ukanda. Licha ya...
Back
Top Bottom