Search results

  1. The last Nyiha King

    TUITUMIE JUMAPILI MAKANISANI KWENDA KUSALI NA SIO KWENDA KUONYESHA UFAHARI WA MAVAZI NA VITU TULIVYONAZO!

    Kama kichwa kinavyojieleza, Miaka ya Sasa kumekuwa na kasumba kubwa Sana kwasisi wakristo hasa siku za ibada(Jumamosi na JUMAPILI),watu tumekuwa tukivaa MAVAZI ya UFAHARI KWENDA kuwaonyesha watu badala ya kuupeleka moyo kwa ajili ya utakaso... Hii ipo kwa asilimia kubwa kwa wanawake,Yan...
  2. The last Nyiha King

    Kwanini siku hizi wasanii wa nyimbo za Injili hawaimbi kukemea maovu kama zamani?

    Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu, miaka ya hivi karibuni wasanii wa nyimbo za injili wamekuwa wakitoa nyimbo nyingi zakusifu mazuri, kama vile maisha mazuri na pesa n.k, tofauti na Miaka ya zamani wasanii wengi walikuwa wakitoa nyimbo za maonyo, nyimbo zakukemea dhambi, nyimbo ya...
  3. The last Nyiha King

    Mauaji Nigeria

    Duh noma hii
  4. The last Nyiha King

    Wanaumeeee!!!

    Haahahahaha
  5. The last Nyiha King

    Je, uliwahi kulipia Hotel/Lodge alafu binti hakutokea ukalala mwenyewe?

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. The last Nyiha King

    Naomba ushauri wa sehemu (mkoa/wilaya) ya kuishi

    Kiongozi kiongozi,yaniumeshindwa kutusua Mkoa wa Mbeya,unategemea tens mkoa UPI utakao ends kutusua Mkoa wambeya ndo mzuri kwakilimo we unataka kuondoka tena..........duh dunia inamambo
  7. The last Nyiha King

    Kunaulazima Rais aanzie miaka 40? mbona hawa walifanya makubwa kwenye umri mdogo.

    Amna endeleeni bana,kuptia challenge mnayobishana wengine tunapata point
  8. The last Nyiha King

    App nzur ya kudownload muziki

    Vidmate ndo suluhisho sahh latatizo lako
  9. The last Nyiha King

    Moyo wa huruma unanijia juu ya huyu binti

    Kijana acharoho mbaya....unataka kulawote wawili mwenyewe,ebu rusha hyo contact tumpandie tunaonataka kumuowa
Back
Top Bottom