Search results

  1. nzumbe

    LOWASSA hajatangaza kuwa atagombea Urais,tayari Msuguano umeanza! siku akitangaza!??

    watauana wana ccm, na tena CCM wanachama wake walio wengi ni wanafiki, wanajifanya kumpaka matope ilihali wakijua na mtu anayekubalika!!.. Sasa wanajichanganya tu hao wameshajua jamaa akishika usukani patakuwa hapatoshi..
  2. nzumbe

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Mm nikidhani humu kuna watu na busara zao, kumbe ovyo tu!!... Jadili mambo yanayoweza kumjenga mtu mawazo, kumpa elimu pia ya kimapenz..
  3. nzumbe

    Bashe avua gamba

    Ndg.Chayowa kwa taarifa yako, Mohammed Bashe ni mdogo wa Hussein Bashe!... Wanashindwa kukuambia tu...
  4. nzumbe

    Rashid YEKINI reported dead, sad NEWS

    R.i.p mr. Yekini, we'll all remember you!!....
  5. nzumbe

    Ushauri: Chadema achaneni na ndoto za urais!

    tulikune tuuu, shauri yao master...
  6. nzumbe

    Mbowe akamatwa na polisi

    mambo ya siasa wanayaingiza mpaka kwenye sherehe binafsi..
  7. nzumbe

    Kikwete hata hili linakushinda?

    Hao ndio viongozi wetu, tumewachagua wenyewe, sasa malalamiko ya nini!!...
  8. nzumbe

    NAPE akiwa Mwanza afunguka kuhusu CCM kupoteza mvuto

    Sasa kama CCM imeshapoyeza mvuto, wanasubiri nini kuwaambia wananchi kuwa wameshindwa kuiongoza nchi?... Sababu wanavuana magamba halafu wanaombana msaada kukipigia tena debe kiti kinachogombewa, hii ni ajabu kabisa!!...
  9. nzumbe

    Nimfanyeje huyu dada?

    Chakachua babu lol!!...
  10. nzumbe

    Chameleon Converts To Islam, Now called ‘Gaddafi’

    Inawezekana tuu, mbona Michael Jackson alisilimu na mwanamasumbwi Mike Tyson nae alisilimu?... Ni jambo la kawaida tu...
  11. nzumbe

    LEO ni Miaka 15 ya Dhahabu ya damu’ ya Bulyanhulu

    Hakuna faida bali ni tumezidishiwa umasikini!!.. Hii serikali ya CCM haisaidii lolote bali ni matatizo tuuuuu....
  12. nzumbe

    Roho yangu nimemkabidhi MUNGU - Nape

    Huyo hana lolote, bali kuwapotosha tu umati wa CCM!!...
  13. nzumbe

    Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!..

    Wanataka usawa haoo!.. Sijui nani kawaambia kuwa mwanamke miaka ya sasa huwa sawa na mwanaume, sijui ni nani huyoo!!.. Na ndio maana familia zinaharibika hazipati malezi bora bali zinaambulia borb malezi!!...
  14. nzumbe

    MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

    mic zinasumbua saana wengine huku tulipo mengine yanatupita!.. Mtujuze jamaniii yanayojiri...
  15. nzumbe

    JK tulia kidogo nchini: Meli inapigwa mawimbi!!!

    Kama kule South Africa anawataka wawekezaji waje kuwekeza wakati nchi yake ipo gizani!!.. Hai-sense hata kidogo, mwenzake David Cameron alikatiza ziara akarudi nyumbani kushughulikia matatizo ya nchi yake......
  16. nzumbe

    JK tulia kidogo nchini: Meli inapigwa mawimbi!!!

    wizara nzima iwajibikeee!!...
  17. nzumbe

    Kumtegemea Rais kupata majibu ya kila tatizo la nchi ni sawa?

    Serikali yote kwa ujumla imeajiriwa na sisi wananchi, na ndiyo maana tumewachagua na kuwaweka hapo juu waweze kutuongoza!!.. Sasa wizara husika inatakiwa kuwajibika na si kumtoa kafara katibu wao!!.. waziri na naibu waziri pamoja na waliobakia wooote kwa ujumla wawajibike...
  18. nzumbe

    IPTL/ BUZWAGI/ BUHEMBA/ EPA/ MTUTUMA/ RICHMOND/ MGAO WA UMEME/ NOTH MARA/ TRL/ TICTs

    Umesema kweli, maana sasa hadithi ilyopo ni ya umeme, na wengine wamesahau maovu mengine mengi ambayo serikali yetu bado haioni aibu kututendea!!.. Sasa tuamkeeeeeeeee....
  19. nzumbe

    Tamko la SIKIKA kuhusu rushwa - Wizara ya Nishati na Madini

    Huyo makamu wa rais yawezekana nae ni walewale tuu, haingii akilini labda wanapofanya safari hawakabidhiani!!..
Back
Top Bottom