tuibane SSRA na sera zao mbaya, miaka 55 au 60 kutakuwa na chama kingine na serikali nyingine, wanataka kutuibia na kupotea mapema.. asikubali mtu kuibiwa tukikubali tu tutaachiwa mashimo matupu pesa yote itakombwa..jino kwa jino hakuna mambo ya chukua chako mapema hapa....tumeelewana?
ccm inaona inataka kutoka madarakani inaandaa mpango wa kuachia madema serikali mpya... miaka 55 au 60 unafikiri bado tutakuwa tutakuwa tunaongelea mambo haya ya hii CCM. hii ni janja yao tu.
matatizo yetu wabongo tutasahau kila kitu ndo watu watafanya kila kitu, tujiandae kuwa na sheria ya kurudisha utumwa, ufisadi, wizi, unyang'anyi...n.k huu ni mwanzo mungu atuepushe tunapoelekea kuna siku tutaamka hakuna ataeweza kufungua mlango wake.. hawa watu si wazuri tena..wanatumikia...
Ukimbuka nyuma kidogo, sheria za pension (wakati huo zikiwa tofauti) zilifanyiwa mabadiliko kwa kupunguza umri wa kustahili pension kutoka 45 hadi 55 na 60 kwa lazima, hii yote kuhakikisha mifuko inakaa na pesa za wachangiaji muda mrefu, hivyo ni mwendelezo tu wa mambo, mwisho itapitishwa sheria...
hapa ssra ilitakiwa kuzuia serikali kukopa kutoka kwenye mifuko na mafisadi wasikope huko, kuliko kulizunguka tatizo kwa kuondoa mafao ya kujitoa, ikumbukwe pamoja na sheria za pension, bado kwa upande wa haki za binadam pesa hizo zimetafutwa na kuwekwa na wafanyakazi kutoka kwenye jasho lao...
discussion hii nzuri, ANGALIZO wana jf msije kujadiliana kuhusu PIN hiyo nenda personally kwenye tawi lako.
Mgeni hufanya vizuri kuja lakini hukaribishwa sebuleni tu.
Isije ikawa mambo ya airport wananchi wanaamishwa baada ya miaka 30 fidia ya zamani.WANANCHI harakisheni kupitia kura zenu 2015.la sivyo mtauzwa mpaka wenyewe.
organization ambayo ni charity lazima isajiliwe na msajili wa vyama vya hiari, ubainishe madhumuni yake (yasiwe biashara) kama biashara uanzie msajili wa makampuni.pili iwe na ofisi inayotambulika na majukumu yasipingana na sheria au taratibu za jamhurithanks
Mhhi.magari yote yanakuwa cleared bandarini.ina maana wana mpaka viwanda nje.wabongo IMETOSHA tuanze kuishi na Akili zetu.tumekua na external drivers miaka mingi, we dont even sleep with our brain.
Watu wanapenda kinachokatazwa mfano.usigonge madem,usikojoe hapa,usipokee rushwa,n.k sasa ulitakiwa useme "lazima ubofye hii uzi"ili iwe vice versa. Watu walikimbilia kuona tsunami,mabomu,tenki la mafuta lilopasuka,n.k
Uhasibu ni mizania unapokopa una create asset au nyumba na liability au deni. Unapotoa pesa una create matumizi kama electricity au unapunguza deni au unanunua asset nyingine.hivyo nyumba ni asset.hivyo basi from double entry point mambo huja mawili mawili ie to every debit there is...
Mi nafikiri mada hii ilifaa kwenye kura za maoni ndani ya chama. Rais wa wananchi 2015 ni DK SLAA iyo mbona mjadala ulishaisha au wanagombea uraisi wa kongo sielewi hii mada
Mi nafikiri mada hii ilifaa kwenye kura za maoni ndani ya chama. Rais wa wananchi 2015 ni DK SLAA iyo mbona mjadala ulishaisha au wanagombea uraisi wa kongo sielewi hii mada
mi kero yangu ni kuhusu wakazi wa kigamboni kilometa 15,000 watahama.muishinikize serikali ipange sehemu nyingine kwa sababu tanzania ina maeneo mengi ya wazi zaidi ya km 15,000. mfano chanika, morogoro n.k. na tatizo watahamishwa baada ya kutungwa sheria mpya...ni kwenye mchakato wa katiba...
Mikopo ni mizuri lakini pia ni kitanzi ambacho hata nchi zilizoendelea wanajutia. Taasisi za pesa ni biashara na wala si huduma, na matokeo yake foreclosure zinawachanganya watu akili zao na kukata tamaa ya maisha. Binafsi nisingependelea huu utaratibu wa mikopo vinginevyo umejiamini na biashara...
Mimi na hoja zote.kama ni hivyo basi mi naona sehemu ya kuanzia ni kwenye mfumo wa elimu.kwa sababu tulibadili mfumo basi swala hili liingizwe kwenye mitaala yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.