Search results

  1. M

    Afrika tutafika lini uwezo huu? Makombora yote hayo ya Iran yamefaulu kumjeruhi binti mmoja tu!

    Israel wakishaanza kujibu mapigo habari za kuua raia na haki za binadamu kuvunjwa zitashamiri humu.
  2. M

    Waalimu mnapaswa kuandamana kudai pensheni kamili, kikokotoo kwenye pensheni ni udhalim. Ni aibu kwa serikali kuwekeza kwenye vifo vya watumishi wake!

    Kwanini unawasema walimu tu wakati kikokotoo kinahusu watumishi wote? Je madaktari, askari, wahasibu nk wao hawatakiwi kuandamana?
  3. M

    Baada ya South Africa kushinda Kesi Huko ICJ nchi za Kiarabu zaanza kujipendekeza kwa Palestine, zakutana UN kujadili Hukumu!

    Baada ya taarifa hiyo ya mahakama, karibu wapalestina 200 wameuawa huko ghaza.
  4. M

    Tanesco Wilaya ya Chunya tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi hakuna umeme!

    Sijui kisingizio ni nini sasa!! Maana kama ni mvua imenyesha kwa wingi. Mabwawa yatakuwa labda yamezidiwa maji
  5. M

    Viongozi 9 kutoka Afrika waliotawala kwa muda mrefu zaidi na bado wapo madarakani

    Rais wa Eritrea amekuwa madarakani kwa miaka 30 sasa na sio 37. Halafu hao madikteta wote ni majizi kupindukia
  6. M

    Hii tabia ya trafiki kubambika makosa ya barabarani inaumiza

    Moja kwa moja kwenye kero yangu. Kumekuwa na mtindo wa askari wa usalama barabarani kusimamisha gari hata kama huna kosa halafu wanainakiri namba ya gari na kuiandikia fine. Binafsi nimekumbana na hali hii mara mbili sasa. Mara ya Kwanza nilisimamishwa na askari kama kawaida akaomba leseni...
  7. M

    Javier Milei "The Madman" ashinda Urais wa Argentina

    Sasa Agentina na michezo si ni sawa na samaki na maji anataka kufuta wizara tena!! Wacha tuone mwisho wake
  8. M

    Tangu msimu wa 2015/2016 Simba na Yanga Mechi huisha kwa sare Mechi za round ya Kwanza.

    Huu ni msimu wa nane Simba na Yanga hakuna anayeibuka na ushindi duru ya Kwanza tangu msimu tajwa. Pengine Msimu huu mwiko huo unaweza kuvunjwa wacha tusubiri hiyo Jumapili ya Novemba 5 kama kuna timu itaibuka na ushindi. Mara zote mechi hiyo huisha kwa sare ama suluhu hata kama timu mojawapo...
  9. M

    Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

    Ipande tu zaidi na zaidi ili akili zikae sawa sawa. Anaupiga mwingi sana Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  10. M

    Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

    Vwawa pia iwekwe kwenye list Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  11. M

    Anna Tibaijuka: Neno “Will” kwenye Mkataba wa DPW litaleta Mgogoro. Kuonesha utashi walipaswa kutumia “May”

    Kuni zinaendelea kuchochewa kwenye huu mkataba! Hivi ni lazima sana DP world waje? Hata kama una maslahi rais wangu mpendwa hebu achana nao ili kuleta utengamano wa kitaifa. Kwa sasa mkataba huu unapasua kwa kasi mshikamano wetu
  12. M

    Wanaojiita maajenti wa Mabasi ya mikoani ni kero sana

    Nakumbuka miaka hiyo naenda shule pale stendi ya makambako ya zamani nikiwa na begi wakaja rundo la hao jamaa wakaanza kung'ang'aniana begi langu. Hawakujua nimeambatana na baba yangu tena mjeda akiwa amevaa gwanda kabisa. Alimtandika buti moja mmojawapo alipindukia kwenye mtalo. Aiseee wenzake...
  13. M

    Nigeria: Raia washangazwa Rais kutembea na msafara wa magari 120

    Afrika kila anayewania nafasi anajijali yeye kwanza aishi maisha ya kifahari huku raia wakitaabika.
  14. M

    Wanajeshi wanapata wapi ujasiri wa kupigana mpaka kufa kwa sababu ya maamuzi ya wanasiasa?

    Kisaikolojia wanaambiwa wanapigania nchi lakini kiuhalisia na kwa ajili ya masilahi ya wanasiasa. Tazama vita kama vya pale kongo, Sudan au hata kule Syria utaona wote ni kwa ajili ya mtu fulani au kikundi cha watu na sio nchi.
  15. M

    Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

    Tuondoe tongotongo kidogo basi maana umetuacha njia panda
  16. M

    Kasi ya China kuendelea kukua kiuchumi duniani. Wamejenga mji mpya kabisa uitwao Xiongan ndani ya miaka 7 tu.

    Hata ingekuwa $2 bil bado ni ndogo sana kwa mradi kama huo
  17. M

    Mei Mosi 2023, Sherehe isiyokuwa na matumaini kwa Wafanyakazi

    Siku hizi mei mosi imebaki kama ceremonial day tu hakuna jipya. Mei mosi iliyokuwa worse zaidi ni ile iliyofanyika iringa jpm akiwa mgeni rasmi. Mama akapigilia msumari kwa kutoa ahadi hewa ile ndiyo ilimaliza kabisa matumaini ya wafanyakazi mei mosi
  18. M

    Kwanini kunakuwa na utofauti wa muda katika kipindi fulani cha mwaka?

    Nimeileta hili ili nisaidiwe kupata ufafanuzi zaidi maana najua hapa kuna wajuzi wa mambo kwa nyanja mbalimbali. Suala langu ni kuhusiana na utofauti wa saa kati ya eneo moja na lingine. Naomba nitumie kati ya muda wa Afrika mashariki ambao upo katika longtudo nyuzi 45 mashariki mwa Greenwich...
  19. M

    Rais Samia haya yana baraka zako? Na yana maana gani?

    Muda mwingine ficha aibu basi. Sifa za kijinga hazina msaada kwake hata kwa nchi. Rais kachaguliwa ili kuiongoza Tanzania vema ikiwa ni pamoja na kulinda rasilimali za nchi, kusimamia maendeleo ya wananchi, nk. Yote hayo rais hajafikia hata robo kwa utendaji lakini misifa utadhani Tanzania...
Back
Top Bottom