Mishahara ya wakufunzi wa vyuo vya ualimu ni tofauti na waalimu wa secondary?

Kwahiyo BAED hawezi kufundisha Chuo?? Kama anaweza anaomba kwa kupitia njia zipi??
 
Sijaona ukweli mpaka Sasa......ulizeni walimu watawaambia ukweli!
Siku hizi mwl wa degree science anavuta 805000 hapo bila makato na ndo kaanza kazi ila wa art anavuta 700k na ushee hukoo .....so msiwadis kama hamjui ukweli.......
 
Kwahyo wakufunzi hata ukiwa na master degree wao watakulipa kwa ngazi ya degree tuu?

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Ndio,
Kuna kiwango cha mshahara Cha kuanzia kwa ngazi ya ukufunzi.
Hivyo mwenye Bachelor na Master wakiajiriwa pamoja kama wakufunzi,
Wote hulipwa kiwango hichohicho cha kuanzia,
Ile Master huwa ni added advantage tu kwa mkufunzi kama vile kupata vyeo na kazi za hapa na pale ndani ya taasisi, ila haihusiki kwenye nyongeza ya mshahara.
 
Pia vigezo vya kuhamia kufundisha vyuo hvyo mfano vyuo vya ualimu TTC wanaangalia kiwango cha GPA? Mfano 3.0 au ni 3.5 and above..?

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Pia vigezo vya kuhamia kufundisha vyuo hvyo mfano vyuo vya ualimu TTC wanaangalia kiwango cha GPA? Mfano 3.0 au ni 3.5 and above..?

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Sijui kuhusu vyuo vya TTC,
Ila vyuo vingine vitoavyo elimu ya kati vilivyopo chini ya NACTVET huzingatia GPA ya 3.5 kwa Shahada ya kwanza ili uwe mkufunzi.
 
acha kudanganya watu. mkufunzi wa chuo cha ualimu kwa degree anaanza na 769000 bila makato wakati mwl wa degree anaanza na 589000
Hakuna mwalimu WA degree anaeanza na hyo acha upotoshaji,degree ni 756000 kwasasa hyo 589000 ni diplôme
 
Sijaona ukweli mpaka Sasa......ulizeni walimu watawaambia ukweli!
Siku hizi mwl wa degree science anavuta 805000 hapo bila makato na ndo kaanza kazi ila wa art anavuta 700k na ushee hukoo .....so msiwadis kama hamjui ukweli.......
Naam Hawa hawajui chochote
 
Back
Top Bottom