Icho kipande Ulicho Tupiwa Ni Jini Maiti. Ushaidi Ni izo Ndoto Mbili Ulizo Taja Kuota Unazikwa Au uko Msibani, Tabia Ya Jini Maiti Nikuzika Kuanzia Mawazo Yako Unayo Waza Kichwani, Inaonekana Ilo Jini Limekaa Kwenye Mlango Wako Wa Aja Apa Na Maanisha Matamanio Yako Yale Unayo Taka Aya Timiii...
Aina Ya Watu Kama Wewe Mupo Wengi Sana. Ungetaka Kumanisha Vile Ulivyo Jijengea Picha Kichwani, Ungenipigia Simu Ata Ujifanye Mteja Afu Ungekuja Kuweka Apa Itimisho Lako, Lakini Ukufanya ivo
Nimeweka Apo Mawasiliano Yangu .Lakini Bado Unataka Kumanisha Vile Ambavyo Wewe Unajisikia. Wewe Ni YouTuber? Au Umeamua Kutumia Ubungo Wako Kwenye Tangazo Langu
Unataka Kusema Millard Kila Anacho post Anapata View Milion Sababu Subscribe anoa Zaiidi Ya Milion...Ni Youtuber Pekee Anaye Elewa Ili Na Awezi Uliza Kama Wewe
Nauza YouTube channel Yangu link Yake
https://youtube.com/@afroafricaa
Ina Subcriber 128k
Ipo complete Na Adsensens Yake
Aina Ya Mauzui Niliyo Kuwa Na post Ni Comedy
Nipo Ubungo
Nicheke Kwanamba 0782373183
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.