Hapana hospitali za kikanda hupelekewa vibari vya kuajiri lakini ajira hizo ni wafanyakazi wanaoajiliwa wanakuwa ni wachache ,ndo maana hata ukienda hospitali ya taifa ya muhimbili ,kcmc, bugando hutakuta kuna kundi la vijana wengi wanajitolea huko wakipata viposho vidogo ambavyo muda hawewezi...
MAMA ANNA MGWIRA PELEKA VIELEEZO VYA MAREHEMU SION TEMU MAMA WA HYOCE TEMU ALIYEFIA NJIANI KUTOPATA HUDUMA KCMC
Habarini za usiku ndugu zangu wana jamii forum wenzangu,
Nimesoma habari ya kulalamikiwa moja ya taasisi ya kidini inayotoa huduma za afya , hospitali ya rufani ya kanda ya...
Don't worry Africa China is around,si mwenzi mwema kwani kuna vitu anavyovitaka,anaweza kutoa misaada lakini mwisho wa siku yeye pia atataka aweze kupata faaida kubwaa kuliko ile aliyetoa ,nikimnukuu Dambisa Moyo mwanaharakati wa kike toka Zambia alisema foriegn aid is dead aid ,akimaanisha...
Hawa jamaa ni kikwazo ukiitaji cheti haupati kwa wakati,unaweza tumia miezi au ukakata tamaa ishu kwa wale wanaofuata vyeti vyao daresalam unatoka mkoani hutajuta ,Mara wafanyakazi wake watakwambia kesho kesho hawajali ,kuhakiki tuzo pia nayo pia nitatizo,utaambiwa kafate matokeo chuoni utarudi...
Habarini za jioni wana jamiiforums, kwanini hawa NACTE huchelewesha utoaji vyeti na hati za matokeo, uhakiki wa tuzo ni tatizo huchukua muda mrefu, au kuwaambia wanafunzi wafuate matokeo badala ya maamlaka husika kufuatilia na kuhakikisha matokeo yanakuwepo kwa wakati sahihi ni kila siku kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.