Search results

  1. B

    Mwenye kujua jinsi ya kupata kazi nje ya nchi aniunganishe

    Habarini wana JF, mimi ni mhanga wa ajira kwa muda tuu ila nimetafakari na kuona halihalisi ya maisha yanavyozidi kuwa juu nimeona nitafute kazi nje ya nchi, nje ya Africa kazi yoyote ya halali hata kudeki vyoo, kwa anayejua au mwenye ndugu pls aniunganishe, asanteni mtakaoguswa.
  2. B

    Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Habarini wana jf humu ndani,jamani ningeomba msaada kwa anayejua njia rahic ya kupata hicho kitambulisho maana Nina shida natakiwa niende nchi flan na uhamiaji wameniambia siez pata passport mpaka hicho kitambulisho nimehangaika huko nida lakini mpaka sasa nikupigwatuu tarehe,nisaidieni kwa...
  3. B

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Niheri akuache kuliko kuikosa mbingu na kumkosa aliyekuumba
  4. B

    Competitive man power

    Najua ni kampuni but nataka niijue kiundani zaid
  5. B

    Competitive man power

    Habari wana jf,samahani kwa anayeielewa vizur hii competitive man power anisaidie pls
  6. B

    Competitive Man Power

    Habarini wapendwa,samahani ningependa kuuliza kuhusu hii competitive man power kama kuna anayeifaham kiundani anisaidie pls
  7. B

    Sababu zipi hasa hupelekea watu kufanya mapenzi kwenye gari?

    Ndomaana ajali haziishi ni laana hiyo ghaa!!
  8. B

    Wadada, kusema mnaogopa kuumizwa na mnapotongozwa mmeona fashion

    Humu jf sijui nizibe masikio yangu nisisikie maana ninayoyaona hapa naweza enda somea ubondia niwafundishe wanaume wa humu
  9. B

    Ujana maji ya moto.. Maeneo tata niliyawai kugegeda

    Nyoooo huna hata haya,eti thanks God,unamtaja Mungu kwenye upuuzi mchafu kama huo
  10. B

    Natafuta kazi za ndani nnje ya Africa lakini sio kwa waarabu

    Jamani mwenzeni nimechoka bongo joto Kali hivyo natamani sana ningepata kazi hata za ndani nnje ya nchi ila zisiwe yuu nchi za kiarabu,anayeweza kuniunganisha msaada pls,pia iwe uhakika nikazi za ndani sio kupelekwa huko na kuuzwa kufanyishwa biashara za haramu
  11. B

    Utapeli wa kwenye mitandao

    Kuwa makini sana na hawa watu wanaojiita Focus bikoba,ni matapeli sana na wanatoa matangazo kuwa wanakopesha ukiwafatilia wanakudanganya unatuma hela ili wakusajili alafu wanakugeuka,watu wengi aana wametapeliwa hata mimi wamenitapeli inasikitisha hali ya sasa ilivyo ngum halafu MTU achukue hela...
  12. B

    Wajue matapeli wanaotapeli kwenye mitandao

    Habari,jamani utapeli umeziidi kuna watu wanajiita Focus vikoba hawa watu in matapeli zaidi ya tapeli wanatangaza kuwa wana toa mikopo online uki apply wanakuambia utume majina yako halafu na hela ya account ukitima wanakuambia ongeza tena wanakusumbua mwishoni unachoka na wanatumia jina la...
  13. B

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Mnachuma Zambi acheni dhihaka sisizokua na maana,Mungu sio mwanadamu kusema mumchezee katika Neno lake,ambaye haelewi kweli apige magoti amuombe Mungu kumpa ukweli.
  14. B

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Habari wana jamii, Mimi ni mdada mwenye miaka 32, nimechoka na kazi za kuajiriwa nimefikiria nifanye kitu gani nikapata wazo la kufungua cosmetics shop lakini sina idea yeyote, kwahiyo naomba kwa mzoefu anisaidie kiasi cha mtaji cha chini ninachopaswa kuanzia,napia anisaidie nivitu gani ambavyo...
Back
Top Bottom