Search results

  1. okaoni

    Hatimaye wamekutana

  2. okaoni

    Adha za "Kibanda Umiza"

    Leo nilienda kuiangalia timu yetu ya Taifa ilipokuwa inamenyana na Uganda. Kuna baadhi ya kero nilizokutana nazo naomba niwashirikishe. 1. Watu wanapiga kelele hovyo hovyo kiasi kwamba kuna limtu lenyewe linajifanya ndio lichambuzi mashuhuri ni kukosoa tuu tena kwa sauti kubwa hata yale maneno...
  3. okaoni

    Yanayojiri kwenye boxing ring kati ya Antony Joshua na Carlos Takam

    Wale wapenzi wa ngumi jiwe, yule mwanamasumbwi Mwingereza mwenye asili ya Nigeria kiboko ya wazungu mzee wa knock out na uppercut za hatari muda wowote kuanzia saa mbili usiku atakuwa ulingoni kupitia chennel one ya kingamuzi cha star times
  4. okaoni

    TBC2 mashindano ya Jumuiya ya Madola inawahusu

    Kwaza kabisa niwape pongezi nyingi kwa kutuletea michuano yoote ya kombe la dunia na marudio yaki ijapokuwa ilikuwa haituhusu. Hakuna timu hata moja ya ukanda wa Afrika mashariki na kati iliyokuwepi kwenye fainali hizo. Ninajua TBC 2 iliundwa ili iwe ya burudani kuepuka kukatisha vipindi...
  5. okaoni

    Kiingereza hakijakamilika kama kiswahili?

    1.Mdogo wa baba, mkubwa wa baba ,kaka yake na mama kiswahili kila moja na jina lake na msikilizaji anajua moja kwa moja anatoka upande gani wa wazazi mfano Baba mdogo, baba mkubwa, na mjomba lakini kwnye luga ya kiingereza wote hao huitwa uncle hivyo kushindwa kumfanya hadhira kujua anatoka...
  6. okaoni

    Utamaduni wa watanzania umepotelea wapi?

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia matukio ya sherwhe mbalimbali hapa bongo, iwe ni sherehe za kiserikali, au kukaribisha kiongozi wa nchi nyingine anapozuru Tanzania ambapo pamoja na mambo mengine huonyeshwa utamaduni wa nchi yetu. Kitu ambacho huwa kinanichukiza ni namna ambavyo tumeupoteza...
  7. okaoni

    Adverse possesion,acquesence and law of limitation

    Ndugu wapedwa kaka na dada wasomi.nimeandika kichwa cha habari hicho nikiomba ufafanuzi wenu wa kisheria kuhusu matamko ya wanasiasa yanayotolewa kwa watu waliojenga kwente ama hifadhi za barabara au maeneo mengine yasioruhusiwa lakini idara husika zimekuwa kimya hata baada ya kupita miaka zaidi...
Back
Top Bottom