Search results

  1. K

    Sasa ni zamu ya Bashe kukatwa!

    Kwa sasa nafasi ya rushwa katika uchaguzi ndani ya CCM itakuwa finyu. So Wasomali kwa Mkoa wa Tabora imekula kwao. Bila kumkata Bashe Lowasa ataisumbua Serikali.
  2. K

    Sasa ni zamu ya Bashe kukatwa!

    Baada ya Mtia nia Lowasa kukatwa katika harakati zake za kugombea urais wa JMT sasa ni zamu ya wapambe wake wakubwa kukatwa na hasa Hussein Bashe ambaye inasemekana atagombea jimbo mojawapo Mkoani Tabora!
  3. K

    Sheria ya Hotel Levy bado ipo?

    Tusubiri wadau watujuze.
  4. K

    Sheria ya Hotel Levy bado ipo?

    Wadau wajuzi wa sheria, naombeni mnisaidie juu la uwepo wa sheria ya hotel levy namba 23 ya mwaka 1972 ambayo inaelekeza mmiliki wa nyumba ya kulala wageni (guest house) kulipa 20% ya mapato yake ghafi ya malazi kwa halmashauri. Nimejitahidi kuitafuta kwenye orodha ya sheria ambazo zilifanyiwa...
  5. K

    Chatu ammeza mlevi huko India!

    Ni uongo
Back
Top Bottom